Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and night
Hii hutaki?

images (29).jpeg


images (4).png
 
Tanzania na Uganda watafute pesa wenyewe na WA inject kwenye mradi wa EACOP,kutegemea Hawa vibaraka wa Kunyaland hatufiki..

Watu ni wapumbavu Sana,wapi ambako kutakuwa na displacement of people?

Na hao watu si wanalipwa fidia na kutafutiwa maeneo mengine? Wanakera Sana Hawa mbwa..

Kama kuna wengine wako Tanzania hii wanaojiita NGOs watafute Nchi ya kwenda 👇

Screenshot_20220518-144017.png
 
Shida yenu ni kuelewa lugha ya kiingereza, na tukisema hivo huwa mnafikiria ni kuringa. Language barrier inakupa Misinformation jamaa, for example ati hii article imekufanya ufikirie chinese wana take over port ya Mombasa surely..tafuta mtu wa kukutafsiria jameni usijiaibishe.
There was a roumour that the port was used as colateral, - kulikuwa na fununu kwamba port itachukuliwa na wachina kenya ikikosa kulipa loan ya SGR... First of all, Kenya haijashindwa kulipa hio loan. Secondly the romour was proven wrong...soma tena ulichotuma

View attachment 2228940
Why doing research on rummors? Open up that bloody contract and spill the beans [emoji16]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani class 7 candidatesni 400k kww nchi ya more than 60million candidates
That's a abit mess tukikumbuka hiii nchi yao by 2035 watakuwa more than 100m people
Watu hawaendi shule. Poverty is keeping children at home
 
Kaa mbali wacha kujivimbia wakati ww ni accountant , sio mchumi, tena ni accountant unae nishangaza.
Huwa mkisikia kwamba mtu ni mchumi huwa hamtaki kuamini kabisa licha ya evidence inayowekwa. eliakeem, joto la jiwe na sasa wewe Justinr. Nimenotice huwa mnafikiri mchumi ni mungu kumbe ni mtu wa kawaida tu. Hapa Kenya kusomea degree ya uchumi unahitajika kupata grade ya B+ kwenye KCSE ambayo mimi nilipata.
 
Huyo Sukuma Gang aliyeandika ujinga na wewe kuuwasilisha hapa anaonyesha jinsi alivyojaa mausaha kichwani..

Deni la Taifa haliongezeki kwa mikopo tuu bali kwa riba za mikopo ya nyuma.Anatakiwa ajue kwamba Mwendazake alikopa mikopo mingi ambayo ni commercial tena kwa Siri..

Samia akikopa anaweka wazi na unajua kama ni concessional au commercial na wapi zinaenda kutumika..

Mambo ya sijui mitozo sijui nini ni kujikosha tuu baada ya kuona kwamba legacy inaenda kufutila..Tozo zimejenga vituo vya afya 234 Nchi nzima kwa mwaka mmja wakati Mwendazake alijenga 352 kwa miaka 5..

Tozo zimeongeza bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802 na kuleta tija kwa watu..

Mwambieni Tozo zimeongeza bajeti ya Maji kutoka bil.392 hadi bil.709 kwa ajili ya miradi ya maji..

Kwenye elimu ndio usiseme,tukiwela Takwimu tutajaza servers za JF.

Harafu wewe fala unamtaja taja Kikwete ndio yuko Ikulu?.

Mwisho Serikali itaendelea Kukopa na kulipa Ili kutekeleza miradi..
I am always flabbergasted by extraordinary efforts made by countless Kenyans in their silly endeavors to represent themselves as Tanzanians across many social platforms.

Let me ask my fellow Kenyans; what's wrong with being Kenyan, are you ashamed of your nationality?
 
Hii video imenichekesha na imenitia huzuni parallel namna hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
images (62).jpeg


Mbongo wa kuibiwa kindezi hivi bado hajazaliwa, nimeamini wakenya ni maboya ya mwisho duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


 
😂😂😂 Tonny umejiabisha sana, mabishano ya mambo za assets na liabilities hadi umepost vyeti.? 😂😂 Nimesoma business class wakati nipo "O" level, na nimejua kuhusu assets na liabilities nikiwa form one and Two, nimejua kutengeneza balance sheet nikiwa chalii wa form 1, nimejua kutengeneza correction of Error account nikiwa chalii wa form 3.. then u ar here bragging of knowing balance sheet 😂😂😂..
Mzee balance sheet ambayo tunasoma kwa CPA sio balance sheet ya ujinga ambayo ulisoma high school. Unajua consolidated balance sheet ni nini? Kisha balance sheet ya bank ni tofauti na balance sheet ya manufacturing company. Kisha IFRS reporting standard unaijua ni nini? Na IAS reporting standard unaijua ni nini? Haya mambo hamfundishwi high school. Usipayuke hovyo.
Unadhani balance sheet ya maembe ya high school mnayofundishwa na sawa na hii consolidated balance sheet ambayo mimi nalipwa kutengeneza? Unajua ni stress gani mtu hupitia kufanya hili dude libalance? Ukisema nyumba ni liability balance sheet haitabalance 😆😅😂😅 utapoteza muda ukitafuta makosa liko wapi? Ama useme kwamba loan ni asset, balance sheet haitabalance.
download (7).jpeg
download (6).jpeg

download.png


Usilinganishe ujinga uliofundishwa high na haya mambo. Consolidated balance sheet ni mambo tofauti na utopolo uliosoma high school. Pia income statement ni tofauti tofauti, kuna ya bank ambayo ni tofauti na ya manufacturing company. Kampuni ninayofanyia kazi inamiliki subsidiaries kwa hivyo inabidi mtu ajue jinsi ya kutengeneza consolidated financial statements ikiwemo consolidated balance sheet, consolidated income statement na consolidated cash flow statements. Hayo mambo huwezi kuyasoma high school wacha ujinga. High school unafanyiwa introduction tu ya cash flow statement ila CPA unaingia ndani kabisa hadi unakuwa mwenyeji.
 
Hii video imenichekesha na imenitia huzuni parallel namna hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2229355

Mbongo wa kuibiwa kindezi hivi bado hajazaliwa, nimeamini wakenya ni maboya ya mwisho duniani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂



Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
 
NYAMHONGOLO bus terminal Mwanza, 👇ni picha za upande wa mbele tu wala sijaingia ndani.. haya waambie na wao walete NAIROBI green Park, State of art, ultra modern bus terminus 😂😂😂..
IMG_20220518_145152_394.jpg
IMG_20220518_145134_013.jpg
IMG_20220518_145303_181.jpg
IMG_20220518_145319_630.jpg
IMG_20220518_145441_034.jpg
IMG_20220518_145518_239.jpg
IMG_20220518_145703_969.jpg
IMG_20220518_145659_102.jpg
IMG_20220518_145611_493.jpg
IMG_20220518_145646_375.jpg
IMG_20220518_145221_026.jpg
Ila mjomba aliipendelea Mwanza bhana 😅(natania), stendi kubwa za mabasi za kisasa mbili at a time, modern airport terminal, daraja la 3km juu ya maji, meli nyingi nyingi, vivuko. Ooh yes Mwanza is the capital of lake zone.. mwamba alikua ana ndoto kubwa sanaaa..
 
Back
Top Bottom