Heheheheeee nimekamata ngumbalu, hivi wewe uliyesomea masomo ya arts unataka kushindana na mm niliyesoma pure mathematics? Haya twende sasa hyo iliyoanzia 0-45 na hyo iliyoanzia 0-21.
Kwanza kabisa nikuambie tu hyo ya Mombasa imeanza na namba kubwa kwa sababu ya Mitumbwi ya passengers, yn ili graph ipate ku accomodate hyo Mitumbwi ya passengers ni lazima ianzie na namba kubwa but hiyo haina impact yoyote kwenye number of cargo vessels arrived and departed.
Wewe hujasoma hesabu huwezi kunielewa ngoja nikueleweshe kwa vitendo, hebu angalia hyo data ya kwanza ya Mombasa port hyo data ya kijani ndio inaonesha number of cargo vessels, hapo interval ni 5 yn 20-25, do you think kwamba hyo data ya kwanza inafika hata two vessels?
Haya njoo kwenye data ya Dar port, angalia hyo data ya kwanza alafu niambie ni vessels ngapi. Nadhani ss umeelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2229112View attachment 2229114