The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ogopa wezi mkuu, msomi kutoka Kenya humu ni mmoja tu, wengine wote ngumbalu, wakijua broken ya kwenye mitandao basi nao wasomi.Mtanzania mwosha choo huwezi muona humu mzee [emoji23][emoji23][emoji23] watanzania wote waliomo humu ni wasomi na most of us ni bachelor degree holders tena wenye kazi za maana tu na maisha yanayoeleweka unlike you guys humu wasomi wa bachelor humu mupo wawili au wewe pekeako..