7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Kuna kitu nyuma ya pazia na muda ukifika utaongea.Hii issue ipo kama ya JNHHP
The bad thing is kenyan activists ndo wenye wivu
Kuna kitu nyuma ya pazia na muda ukifika utaongea.Hii issue ipo kama ya JNHHP
The bad thing is kenyan activists ndo wenye wivu
Mchina au Mfaransa au pamoja wanaenda ku-finance huu mradi!Watafute wengine lasivyo utasuasua sana.Hizi ni hujuma za maksudi.
Labda alimaanisha kwa kulinganisha na kwao kwamba mtu ako na shahada lakini anaosha vyoo kutokana na uhaba wa ajira,tofauti na huku kwetu fursa zipo nyingi.Mtanzania mwosha choo huwezi muona humu mzee [emoji23][emoji23][emoji23] watanzania wote waliomo humu ni wasomi na most of us ni bachelor degree holders tena wenye kazi za maana tu na maisha yanayoeleweka unlike you guys humu wasomi wa bachelor humu mupo wawili au wewe pekeako..
Umeongea kitu mkuu, tujirishishe kwanza.Hizi habari ni za kweli au ni hao keyboard worriers tu bla bla zao.?
Hivi unajua unamchanganya ndg yetu?? Yeye aliuliza si kwa utani hajawahi kuona hicho kitu huku kwetu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Chai nzito ya maziwa mkuu[emoji1787] , Dogo anakunywa kilichopo kwa sasa.
Na bado hapo alikuwa na mipango mingi ya namna hiyo kwa Tanzania nzima, sijui Stend ya Moshi, Arusha na Bukoba zina hali gani sasa hivi maana kuko kimyaaa! Bora wengine Bukoba hata soko kuu ni aibu...mzee baba alikuwa na maono ya mbali sana.Stand za kinyama kama hizi zimetapakaa Tz nzima mzee, Magu was the real deal mkuu.
Naona Standard Operating Procedures! R u quality assurance/auditing certified ? Do u know GMP?
Kwenu linamaanisha nini mkuu[emoji39][emoji39]Kwenye bus stations mpo mbele. Huo ndio ukweli. Ila jina Nyamhongolo mngebadilisha [emoji1787] [emoji23]
Dah![emoji3][emoji3]Na wewe uwe unaosha soksi basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229477
Aisee ni kama render kabisa,hakuna cha make up wala nini hapa.Kama render mwanangu, bus terminals za Tanzania hata Airpot Kenya hazifikii[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229561View attachment 2229562
modern bus terminals in mwanza
nyamongoro
nyegezi
modern bus terminals in mwanza
nyamongoro
nyegezi
modern bus terminals in mwanza
nyamongoro
nyegezi
Kweli kuna viongozi wa Africa ambao hawataenda mbinguni sio kwa uonevu huo.Mkuu unadhani ni chai basi, ni maji yenye tope, uhaba wa maji ndg yangu.SO sad kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24]
Kweli,sikubahatika kuiona, dogo ana mvuto na anapendwa sana. Akiendelea hivi atafika mbali na kuitangaza Tanzania kimataifa.Huyo dogo nimecheck show yake aliyofanya ethiopia ni kufuru aisee,acha tu kunyaland wawe na wivu na vipaji vyetu
Itakuwa poa mkuu. Tusiwalizie damu.Mchina au Mfaransa au pamoja wanaenda ku-finance huu mradi!
Huko kusini kote kunakuja juu sana kutakuwa sehemu ya viwanda vya mazao ya mbao na matunda kama vile parachichi. Serikali iwalinde sana wawekezaji ili tuzidi kutengeneza mabilionea wengi hapa nchini!!kiwanda kikubwa cha mbao mufindi[emoji1241][emoji1241]
Wale wanaharakati wa ulaya wamelishwa matango pori na wanaharakati uchwara wa hapa jirani kuwa pipeline ita displace people na kuharibu ecosystem ya lake victoria which is rubbish. All people ambao watakuwa affected na mradi will be handsomely compensated and moved to new areas.Kuna kitu nyuma ya pazia na muda ukifika utaongea.