Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunakuaje masikini kuwashinda wakati mnategemea Tanzania kuliko nchi yoyote Africa?

Unaweza kumtegemea mtu dhoofu kukuhudumia mahitaji yako kwa asilimia kubwa hata kama unalipia?
View attachment 2226578
Usijisifu sana. 3% of Kenya's import ndio inatokea Tanzania. 97% of Kenya's import inatokea nchi zingine duniani. Kwa hivyo hatuwategemei sana.
 
Kabisa mkuu sisi hivi vitu ni vya kawaida sana kila mtu anaweza kujihudumia tena me nakumbuka wazee wetu kule vijijini huwa hawali kabisa kiporo chochote wanasema ni cha watoto wadogo. Tanzania ni blessed Land.
Mpo blessed kwenye jambo moja tu, kujitosheleza kichakula. Ila kwenye mambo mengi hamtufikii.
 
Mpo blessed kwenye jambo moja tu, kujitosheleza kichakula. Ila kwenye mambo mengi hamtufikii.
Sema uchapakazi hautapungukiwa kitu, hata DRC wana ardhi nzuri na kubwa kuliko Tanzania lakini hawawaletei chakula, Nairobi inategemea chakula kutoka Tanzania kwa 78%, Mombasa 99%, Kenya kwa ujumla ni 70%

Ushahidi huu hapa

 
hivi, ungekua unaishi kenya kamavile Shebby01 ndo ungeelewa kua chakula kenya sio issue hata kidogo. ni kingi saana...

haya munayo angazia hapa kila kukicha, ni ile hali tu ya kutafutia kenya makosa, ili tu mradi........
Ila hii video imenifikirisha sana. Wacha tuendelee kufanya utafiti, wewe unaweza kuwa unakula chakula kizuri lakini majority of Kenyans are not.
 
Wakunya ni mafukara kutoka utosini mpaka unyayo ndio maana mara nyingi wana hasira kali

Ukifika Nairobi kila mtu usoni ni kama anataka kumla mtu muda wowote, ni vigumu sana kumuona mkunya anatabasam, muda wote kakaza fuvu sababu ya kufikiria next meal and next shelter sababu ni vitu hawana uhakika navyo kabisa

Tofauti na Watanzania huwa tunafikiria sana vitu luxury sababu kwenye basic needs tumeshatoka huko.
Next meal and next shelter..kama mahitaji muhimu ya binadamu ni hayo mambo 2 na mavazi (clothing),karne hii wanakosa mahitaji mawili muhimu lazima wawe na hasira na nuru inapotea mwili unakosa virutubisho.

Msongo wa mawazo unaotokana na kukosa chakula ni mbaya sana unajiona huna maana ya kuishi. Tumshukuru Mungu sana kuzaliwa Tanzania hivi vitu kwetu ni vya kawaida hata vijana wanaoanza maisha huwa hawakosi kula milo yote 3.
 
Sema uchapakazi hautapungukiwa kitu, hata DRC wana ardhi nzuri na kubwa kuliko Tanzania lakini hawawaletei chakula, Nairobi inategemea chakula kutoka Tanzania kwa 78%, Mombasa 99%, Kenya kwa ujumla ni 70%

Ushahidi huu hapa


Huo sio ushahidi. Kama huna data tulia tu mzee sio kuweka vipicha hapa. Usilazimishe vitu.
 
Tatizo la mafuta kenya

B6A5359A-5B61-4E3C-ABCB-DD9079E3A075.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nairobi kuna njaa kali kuliko hata Turkana na Mombasa



Hii habari inanishangaza sana,makao makuu ya nchi kuwe na njaa kuliko Turkana kule North,hii nchi vipi [emoji848][emoji848] na bado wanatuwekea figisu tusiwapelekee chakula??

Wakenya wanaangamizwa na Serikali yao.
 
90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?

Na bado wanafanya figisu figisu ili malori yetu yasiingie kwao,kuna viongozi ambao hawana uchungu kabisa na uhai wa watu wao.
 
Kunyans kila siku wanasema wao ndio wanafanya wasanii wa Tanzania wafanikiwe

Huku ni West Africa ivory coast French speaking country lakini mtanzania anafanya maajabu na anatangaza Tanzania yetu, mkunya hafiki hizi levels hata tukimpa miaka 5000

Kweli ni bonge la ubunifu, dogo na managers wake wako na ubunifu mkubwa.
 
ungejua baba level huku Dar ni tunamwona kama mwendawazimu, hivi role model akiwa mwendawazimu, wewe utakuwa ni nani?
Huyu baba levo na mwijaku ni machawa tu hawezi kuongea kitu ukakitilia maanani , mtu anayesema mlima Kilimanjaro upo Arusha tena kwenye vyombo vya habari (mwijaku) unaweza kuona ni jinsi gani ambavyo haijui nchi yake.Hawa waulize Zari alivyokuja Tanzania alilala wapi, kula, kunywa nani alimtongoza....udaku ndio sehemu ya maisha yao.
 
Back
Top Bottom