Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kuamini hii flyover haina maajabu Wakunya wote wakipost picha ya hii expressway ya mchina wanapost flyover tu, yn road ina km 27 lkn wanaweka picha ya haka kaeneo ka km7 zilizoinuka basi so km zingine 20 zilizobaki hazina maajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Janja yao tunaijua
 
[emoji1787][emoji1787]kunya kwa majina ...utasikia west land , sijui Niton green sijui bangladesh ...kumbe ni maslum tu majina makubwa kumbe ni uchafi wa mafii ....
Ila tanzania utasikia mikocheni ,upanga ,magomeni ,mbagara..kumbe ni bonge la viwanja vya kujidai.
Hivi kuna mtaa hapo Tanzania unaoweza kufikia Westlands?🤣🤣
Niton Green ndio nini? Mimi najua Lavington green na pia hapo Tanzania hakuna mtaa unaoweza fikia Lavington green kwa ubora. Kama ni majina ya kiafrika tunayo Kileleshwa, Muthaiga, Loresho, Nyari, Gigiri, Thigiri, Muthangari, Kyuna, Kilimani, Milimani, Riara n.k ambazo hakuna mtaa hapo Dar unaoweza kuzifikia.
 
Jirani wa kelele za chura watapata meli 15 pekee na tukiambia soja hajui kusoma graph anataka kulia. 🤣 🤣 🤣 In short hii hebu yao hupata an average of meli moja kwa siku.

screencapture-www-ports-go-tz-index-php-en-shippinglist-1652888533451.png
 
Sio tu we ar above u,yaani u ar no where close to us likija suala la bus terminals.
Ni kweli tupo vibaya kwenye hilo. Tunastahili kuwaiga hapo. Na nyie mtuige kwenye malls pia ili tumodernise nchi zetu. Nyie mumezembea kwenye malls, sie tumezembea kwenye bus stations.
 
Jichoboi, sio kwa dharau ila swali tu moja kwako, masomo yako ulifikisha chuo kikuu? Na kama ndivo, ulisomea nini? Madhibitisho tu Kabla tuzungumzie PPP model.
haya tuambie kenya imetoa kitu gani ili mradi uwe ppp🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna wanuka mavi hawapendi ukweli huu, Tony tusaidie kuwaelimisha hawa watu wajifunze kuishi kwenye uhalisia na kukubali ukweli japo unauma.
Ukweli wakati upo dhahiri haupingiki. Kina nchi ina maeneo ambayo ina mapungufu na maeneo ambapo ipo strong kushinda nyingine. Kwa mfano kwenye bus stations mpo strong sana na sisi kwenye malls tupo strong sana.
 
i always tell them tht, kenya being the larger economy, will always dorminate in every other front. but they'll never buy my words.... and especially The best 007 and joto la jiwe.
they should knw tht the gdp per capita is directly proportional to the well being of citizens of a given country across the world. then kenya is more than double their per capita... ie. whatever a tanzanian has.. a kenyan has more than ×2 tht.. be it the size of house or even the no. of bottles of beer on the table, at any given tyme..
so wht will u expect.? a tanzanian to be richer...!? their's no miracles here... its pure logic
Do you have any idea on Economy?, For every 100shs, Kenyans use almost 55 Shs to service debts?, that must be included when you want to know if the citizens of a country are rich or poor, because the remaining part is tthe real money remaining in the country

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kwanza umeenda university? Tuanzie hapo. Mwosha choo kama wewe huna haki ya kuzungumza kuhusu mambo ya university na wewe mwenyewe hujafika huko.
Elimu niliyokuwa nayo na vyuo nilivyopitia kwako na wenzako ni ndoto kubwa sana. Sizungumzii vyuo uchwara bali uni za Ivy league.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom