Chamoto jamaa wa certificate in software programming,
Justinr mjamaa wa kusukuma mkokoteni na
chongchung mjamaa jobless nimeshawaeleza mambo ya accounting wacheni nayo. Mnajaribu kupingana na mtu aliyesomea haya mambo hadi mwisho. I am a CPA (K). Mwanzoni mwa jina langu ninaruhusiwa kuandika neno CPA kwa sababu CPA ni title yangu ila huwa naandika Mr. kwa sababu sipendi maringo kama nyinyi. Yaani nimesomea uhasibu hadi cheti cha mwisho kabisa cha section 6 na kuhitimu. Kwa hivyo muwache kudanganya watu humu.
Eti
Chamoto una-argue vitu usivyovielewa. Wewe umewahi kuunda balance sheet yoyote maishani mwako? Kama hujui vitu vipi vinafall under assets na vitu vipi vinafall under liability unafunga bakuli lako sio kutupigia makelele hapa. Na
Justinr unang'ang'ana kwamba ikiwa mtu mmoja anaishi ndani ya nyumba basi hio nyumba ni liability. Plenty of brain-dead people in this forum.
View attachment 2229116
View attachment 2229073
View attachment 2229124
Cc
NDINDA
joto la jiwe