Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Ungeona design ya Mwanza SGR Terminus to be constructed ungekimbia!Kwenye bus stations mpo mbele. Huo ndio ukweli. Ila jina Nyamhongolo mngebadilisha 🤣 😂
Ungeona design ya Mwanza SGR Terminus to be constructed ungekimbia!Kwenye bus stations mpo mbele. Huo ndio ukweli. Ila jina Nyamhongolo mngebadilisha 🤣 😂
Uliza pesa iliyotumika ndio utabaki mdomo wazi.
Me huwa ninadhani siyo binadamu kwa utu na moyo bali ni viumbe wengine wenye miili ya binadamu, si kwa ukatili huu.Halafu cha kushangaza utakuta pesa iliombwa na kutengwa kwa ajili ya kazi hiyo lakini wakatokea wajanja wachache wakaipiga. Ndivyo nchi zetu za kiafrika baadhi ya viongozi wetu hutufanyia.Kweli kuna viongozi wa Africa ambao hawataenda mbinguni sio kwa uonevu huo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo ndio ujiulize wao hawana akili kuwaza beyond the reasons? Ebu fikiria wako na shida ya mafuta na gesi lakini wanaletewa umbea eti wanakubali, hawa watu weupe sometimes huwa siwaelewi uwezo wao wa kuamua jambo.Wale wanaharakati wa ulaya wamelishwa matango pori na wanaharakati uchwara wa hapa jirani kuwa pipeline ita displace people na kuharibu ecosystem ya lake victoria which is rubbish. All people ambao watakuwa affected na mradi will be handsomely compensated and moved to new areas.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwenye bus stations mpo mbele. Huo ndio ukweli. Ila jina Nyamhongolo mngebadilisha [emoji1787] [emoji23]
Yeah, but I'm more of an analyst than assurance.Naona Standard Operating Procedures! R u quality assurance/auditing certified ? Do u know GMP?
Haha msalaba tu na makeup 💄💄😂Wakunya angalia environment sorrounding that beautiful flyover, very neat aisee.
Haha msalaba tu na makeup 💄💄Wakunya angalia environment sorrounding that beautiful flyover, very neat aisee.
USA walishindwa na "goat herders" kule Afghanistan after fighting 20 years., Russia imepigana only 3 months mnapiga kelele, remember, Russia is fighting with NATO behind the curtain,Ila wanatudanya kwenye media this war is Russia Vs Ukraine.Wamesurrender baada ya kuzungusha superpower kwa miezi mitatu.
Ni kama BRT project!
Hao matajiri walikufa sasa.? 😂😂Bado umekwama Kwa data za 2019?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu uko na utani wa nguminani huyo The only one. [emoji1787]
na kama kweli unaamini kuwa expressway inakimbia juu kwa juu for only 7km and not the actual 27km..! wacha tusibishane na wewe kwa sasa.. utakuja tu kuamini siku moja. bora tu bado uko hapa hapa jf. sina wasiwasi... tyme will comeKama kawaida unaonesha flyover, so road nzima ni hizo km 7 zilizoinuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]