Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chaya-Nyahua Road 👇

Screenshot_20220518-151322.png

Screenshot_20220518-145809.png
 
Mim video zozote zinatoka kenya huwa naangalia mazingira ya pemben mfano watu walivyo/walivyoovaa na magari yanayopita..hakuna siku nimepata uhalisia wa GDP yao na ninachoona kwenye hayo mazingira au hata magari yanayopita..
Hahaha kwa hivyo bado unaumwa kujua kwamba Kenya ina gdp kubwa kushinda yenu? Pole kwa maumivu.
 
Wazo langu la kuwafanya wale Ng'ombe kuvutia Utalii naona limefanyiwa Kazi na wajanja..

Ngoja hapa Tanzania tuendelee kulala na kukariri kwamba utalii ni nyati pekee badala ya kuongeza products za Utalii..

Hongera kwa kina Museveni 👇

Screenshot_20220518-145716.png

Screenshot_20220518-145736.png
 
Huwa mkisikia kwamba mtu ni mchumi huwa hamtaki kuamini kabisa licha ya evidence inayowekwa. eliakeem, joto la jiwe na sasa wewe Justinr. Nimenotice huwa mnafikiri mchumi ni mungu kumbe ni mtu wa kawaida tu. Hapa Kenya kusomea degree ya uchumi unahitajika kupata grade ya B+ kwenye KCSE ambayo mimi nilipata.

Wewe hujanielewa, umetuonesha hivyo vyeti, lkn swali ni kwamba TUTAJUAJE NI VYAKO?

Hapa JF tunatambuana utaalam wetu kwa namna tunavyojenga hoja za kitaalam kwa umahiri na uweledi kwenye tasninia fulani.
 
Amini unachotaka.
 
Wenye akili wanachangamkia fursa ila Tanzania sasa sijui nini kinaendelea Kuhusu mamilioni ya Tani za Makaa ya Mawe tuliyonayo..

Hongera Botswana 👇

Screenshot_20220518-082336.png
 
Wewe kwanza umeenda university? Tuanzie hapo. Mwosha choo kama wewe huna haki ya kuzungumza kuhusu mambo ya university na wewe mwenyewe hujafika huko.
Mtanzania mwosha choo huwezi muona humu mzee 😂😂😂 watanzania wote waliomo humu ni wasomi na most of us ni bachelor degree holders tena wenye kazi za maana tu na maisha yanayoeleweka unlike you guys humu wasomi wa bachelor humu mupo wawili au wewe pekeako..
 
NYAMHONGOLO bus terminal Mwanza, [emoji116]ni picha za upande wa mbele tu wala sijaingia ndani.. haya waambie na wao walete NAIROBI green Park, State of art, ultra modern bus terminus [emoji23][emoji23][emoji23].. View attachment 2229358View attachment 2229360View attachment 2229361View attachment 2229365View attachment 2229366View attachment 2229367View attachment 2229368View attachment 2229369View attachment 2229370View attachment 2229371View attachment 2229372Ila mjomba aliipendelea Mwanza bhana [emoji28](natania), stendi kubwa za mabasi za kisasa mbili at a time, modern airport terminal, daraja la 3km juu ya maji, meli nyingi nyingi, vivuko. Ooh yes Mwanza is the capital of lake zone.. mwamba alikua ana ndoto kubwa sanaaa..
Duh noma mzee.
 
NYAMHONGOLO bus terminal Mwanza, 👇ni picha za upande wa mbele tu wala sijaingia ndani.. haya waambie na wao walete NAIROBI green Park, State of art, ultra modern bus terminus 😂😂😂.. View attachment 2229358View attachment 2229360View attachment 2229361View attachment 2229365View attachment 2229366View attachment 2229367View attachment 2229368View attachment 2229369View attachment 2229370View attachment 2229371View attachment 2229372Ila mjomba aliipendelea Mwanza bhana 😅(natania), stendi kubwa za mabasi za kisasa mbili at a time, modern airport terminal, daraja la 3km juu ya maji, meli nyingi nyingi, vivuko. Ooh yes Mwanza is the capital of lake zone.. mwamba alikua ana ndoto kubwa sanaaa..
Waambie wakuoneshe terminal yao mpya ya Kisumu airport alafu ufananishe na hii stendi
 
NYAMHONGOLO bus terminal Mwanza, [emoji116]ni picha za upande wa mbele tu wala sijaingia ndani.. haya waambie na wao walete NAIROBI green Park, State of art, ultra modern bus terminus [emoji23][emoji23][emoji23].. View attachment 2229358View attachment 2229360View attachment 2229361View attachment 2229365View attachment 2229366View attachment 2229367View attachment 2229368View attachment 2229369View attachment 2229370View attachment 2229371View attachment 2229372Ila mjomba aliipendelea Mwanza bhana [emoji28](natania), stendi kubwa za mabasi za kisasa mbili at a time, modern airport terminal, daraja la 3km juu ya maji, meli nyingi nyingi, vivuko. Ooh yes Mwanza is the capital of lake zone.. mwamba alikua ana ndoto kubwa sanaaa..
Stand za kinyama kama hizi zimetapakaa Tz nzima mzee, Magu was the real deal mkuu.
 
Back
Top Bottom