Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo graph Ina maajabu gani we acha kujitia ukichaa usiokuanao we makalio.?
Haoni wakunya wenzie wamekimbia na yeye pia kukimbia anatamani ila anaona haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chamoto jamaa wa certificate in software programming, Justinr mjamaa wa kusukuma mkokoteni na chongchung mjamaa jobless nimeshawaeleza mambo ya accounting wacheni nayo. Mnajaribu kupingana na mtu aliyesomea haya mambo hadi mwisho. I am a CPA (K). Mwanzoni mwa jina langu ninaruhusiwa kuandika neno CPA kwa sababu CPA ni title yangu ila huwa naandika Mr. kwa sababu sipendi maringo kama nyinyi. Yaani nimesomea uhasibu hadi cheti cha mwisho kabisa cha section 6 na kuhitimu. Kwa hivyo muwache kudanganya watu humu.
Eti Chamoto una-argue vitu usivyovielewa. Wewe umewahi kuunda balance sheet yoyote maishani mwako? Kama hujui vitu vipi vinafall under assets na vitu vipi vinafall under liability unafunga bakuli lako sio kutupigia makelele hapa. Na Justinr unang'ang'ana kwamba ikiwa mtu mmoja anaishi ndani ya nyumba basi hio nyumba ni liability. Plenty of brain-dead people in this forum.
View attachment 2229116
View attachment 2229073
View attachment 2229124
Cc NDINDA
joto la jiwe

Mimi sitarudia tena kupishana na wewe baada ya kuona umri wako.
 
Hata kwenye economics nakupiga vibaya sana. Wewe ningekuadvice uwachane na mimi tu. Mimi sio size yako. Hii ni transcript yangu ya second year nikiwa bado mwanafunzi kwenye university mwaka wa 2013. Angalia units nyingi ni za economics na accounting. Hakuna unachoweza kuniambia kwenye economics wala accounting.


View attachment 2229268

Cc Chamoto joto la jiwe eliakeem NDINDA chongchung Justinr
Umeficha ficha nn sasa
Date of admission 02/01/2012
Date of graduation 11/12/2015 🤔
masenon-university-logo-253EE0B129-seeklogo.com.png
 
Kamuulize baba Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mombasa port - 39 million metric tones (end of 2021)

Dar port - 5 million metric tones (9 moths of 2021)
😂 😂 😂 😂
 
There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and night
Yaani class 7 candidatesni 400k kww nchi ya more than 60million candidates
That's a abit mess tukikumbuka hiii nchi yao by 2035 watakuwa more than 100m people
 
AKA MSUKUMA MKOKOTENINaitaji ujibu hilo swali, alafu ww aliye kudanganya kuwa accountant ndoi compitent pekeyao nani? Kwaiyo economist hawako compitent?
Umesoma ukafikia CPA, lakini huwezi tofautisha kati ya asset na liability kazi sanaa, najua bankers what they see is money in every thing but that sometimes turn them into brindness to a naked things

Yaani anajiita muhasibu halafu cha kuchekesha wala hajibu swali kiuhasibu eti anajibu kigoogle! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tonny umejiabisha sana, mabishano ya mambo za assets na liabilities hadi umepost vyeti.? [emoji23][emoji23] Nimesoma business class wakati nipo "O" level, na nimejua kuhusu assets na liabilities nikiwa form one and Two, nimejua kutengeneza balance sheet nikiwa chalii wa form 1, nimejua kutengeneza correction of Error account nikiwa chalii wa form 3.. then u ar here bragging of knowing balance sheet [emoji23][emoji23][emoji23]..
Bwana Tony anamini gari ya kutembelea ni asset, pamoja na kuwa na CPA
 
Prism tower on ground, before make up [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2229253
Hiii sasa ni zaidi ya aibuuu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] no wondor hiyo express ni ' VAT 0'[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Hata kwenye economics nakupiga vibaya sana. Wewe ningekuadvice uwachane na mimi tu. Mimi sio size yako. Hii ni transcript yangu ya second year nikiwa bado mwanafunzi kwenye university mwaka wa 2013. Angalia units nyingi ni za economics na accounting. Hakuna unachoweza kuniambia kwenye economics wala accounting.


View attachment 2229268

Cc Chamoto joto la jiwe eliakeem NDINDA chongchung Justinr
Swali ulienda kusoma nini pamoja na kusoma corses za economics bado unamini gari yako ya kutembelea na nyumba ya kuishi ni asset? Mzee wa CPA,...tuachane na hii mada inakufanya uonekane mzembe wakati umefikia hatua ya kupost certificates, mwite accountant mwenzio muyajenge akuambie ulipo kosea.
 
Hatupendi shule je chakula tunachowaletea mnakula mnashiba mnapata kujaza choo ni matokeo ya uchawi na co shule?

Mnavyojaza hospitali zetu kutafuta tiba co shule ile?

Ajira tunazowapa mpk tunaongoza kuwapa remittance kwa hapa Africa co shule iliyotumika mpk tunawaajiri maelfu ya wakunya?

Sisi ndio the most inclusive economy country in Africa, co shule hapo imetumika?

Tunaongoza kuwa na miradi yenye thamani kubwa na yenye maana zaidi hapa EA co shule imetumika ku plan?

Tunajitosheleza kwa chakula co shule imetumika?

Tumeiba bomba la mafuta kutoka Kenya kulileta Tz co shule imetumika?

Tumeiba shehena ya mizigo kutoka Mombasa port kuja Dar port co shule imetumika?

Tumeua KQ co shule imetumika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akirudi ni tag plz

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hata kwenye economics nakupiga vibaya sana. Wewe ningekuadvice uwachane na mimi tu. Mimi sio size yako. Hii ni transcript yangu ya second year nikiwa bado mwanafunzi kwenye university mwaka wa 2013. Angalia units nyingi ni za economics na accounting. Hakuna unachoweza kuniambia kwenye economics wala accounting.


View attachment 2229268

Cc Chamoto joto la jiwe eliakeem NDINDA chongchung Justinr
Kaa mbali wacha kujivimbia wakati ww ni accountant , sio mchumi, tena ni accountant unae nishangaza.
 
Back
Top Bottom