Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo sisi watoto wote wenye umri wa kwenda shule wamechukuliwa elimu ni bure. Truancy is punishable by law in Tanzania

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and night
 
Sasa wewe ngedere unacheka nini[emoji849][emoji849]?
Kilaza nacheka huyo kilaza mwenzako aliyeleta computer generated imagery then alluding that itatuchukua miaka mingi kufika kiwango hicho
 
Hizo ni definition ya kimasikini, matajiri huwa wanamaana tofauti wanaposema asset. Kwao gari ni asset pale tuu inapokuingizia pesa (mf daladala, taxi, rental n.k). kama haikuingizi pesa inakuwa liability kwasababu utaigharimia bima, mafuta, usajili na matengenezo... wakati thamani yake ikishuka.

Exception ipo pale tuu unapoitunza kama classic car, ambapo thamani yake huongezeka kila mwaka kutokana na rarity yake.

Matajiri huwa wananunua jets ili kununua muda wa kufanya biashara kubwa haraka na hivyo kuzifanya jets hizo kuwa asset.
Wengine bado hawaelewi, concept hizi
 
There's nothing you can say to argue that with 400k pupils sitting national exams, Tanzania is doing better than Kenya that has 800k pupils sitting national examinations. The difference is like day and night
Sasa wewe hauoni hiyo rate yenu ya kuzaliana ilivyokubwa mpaka mkawa na watoto almost a million of the same age group sitting for exam!!!!

Maana yake nini? Out of 55m kenyans; children under 18 are 27m, adults of Reproductive age 17 million the rest are old men and women. Sasa out of 17m adults of Reproductive age lets say couple pair ni 8 million sasa out of these 8 million couple pair mnazalisha watoto 800k per year ambao wanakuwa registered kwenye shule zenu in a single registration year hamuoni hiyo percentage ni kubwa sana ? Maana yake nini? Mnapigana miti sana kila mwaka mnazaliana by 10% per couple pair.

Lastly the numbers can also be explained by back log of pupils who did not attend school previously incorporated into a single registration year unless otherwise the numbers are consistent on year by year basis.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mchina kushika Mombasa Port kufidia pesa yake ya sgr 😆😆😆😆

Screenshot_20220518-081801.png


Screenshot_20220518-081746.png
 
Sasa wewe hauoni hiyo rate yenu ya kuzaliana ilivyokubwa mpaka mkawa na watoto almost a million of the same age group sitting for exam!!!!

Maana yake nini? Out of 55m kenyans; children under 18 are 27m, adults of Reproductive age 17 million the rest are old men and women. Sasa out of 17m adults of Reproductive age lets say couple pair ni 8 million sasa out of these 8 million couple pair mnazalisha watoto 800k per year ambao wanakuwa registered kwenye shule zenu in a single registration year hamuoni hiyo percentage ni kubwa sana ? Maana yake nini? Mnapigana miti sana kila mwaka mnazaliana by 10% per couple pair.

Lastly the numbers can also be explained by back log of pupils who did not attend school previously incorporated into a single registration year unless otherwise the numbers are consistent on year by year basis.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bongolala, stop looking more stupid and out of touch with the reality than you already are.

Out out everything you've said, I can bet on my last pence that you can't prove anything, it's just empty rhetoric talk as always. I can give you data from government agencies on age distribution in Kenya and it's not even close to anything you saying here.

About education, just accept that Kenya is doing exemplary in this area. There's no way you can start comparing 800k with 400k. It just means that Kenya is sending more children to school than Tanzania is doing. Even our transition to secondary and tertiary education is also higher than yours so tuliza kende. And there's no backlog anywhere. Angalia hizo data from ten years back. You'll realize there has been consistent growth over the years, it's spontaneous.

Lastly, stop saying tunazaana sana when you can't prove your claims. I am sure if we start comparing population growth rates between these two countries in the last few years you'll take back your words.

Adios!
 
Ni kweli definition za kimasikini, Na jamaa anasisitiza ni aibu kusema gari sio Asset kulingana na matumizi yake, ila inategemeana na circle inayo m influence [emoji1787]. Kimasikini sikini hata nyumba wanayoishi wanaita ni Asset.
Yah non current asset kama huitumii ku generate income inageuka liability, mfano gari yako private ni liability au nyumba yako unayoishi mwenyewe pia ni liability kwasababu unatumia pesa kuzihudumia na haziingizi pesa.
 
Where are the defenders of Kikwete's side chick?


Huyo Sukuma Gang aliyeandika ujinga na wewe kuuwasilisha hapa anaonyesha jinsi alivyojaa mausaha kichwani..

Deni la Taifa haliongezeki kwa mikopo tuu bali kwa riba za mikopo ya nyuma.Anatakiwa ajue kwamba Mwendazake alikopa mikopo mingi ambayo ni commercial tena kwa Siri..

Samia akikopa anaweka wazi na unajua kama ni concessional au commercial na wapi zinaenda kutumika..

Mambo ya sijui mitozo sijui nini ni kujikosha tuu baada ya kuona kwamba legacy inaenda kufutila..Tozo zimejenga vituo vya afya 234 Nchi nzima kwa mwaka mmja wakati Mwendazake alijenga 352 kwa miaka 5..

Tozo zimeongeza bajeti ya Tarura kutoka bil.272 hadi bil.802 na kuleta tija kwa watu..

Mwambieni Tozo zimeongeza bajeti ya Maji kutoka bil.392 hadi bil.709 kwa ajili ya miradi ya maji..

Kwenye elimu ndio usiseme,tukiwela Takwimu tutajaza servers za JF.

Harafu wewe fala unamtaja taja Kikwete ndio yuko Ikulu?.

Mwisho Serikali itaendelea Kukopa na kulipa Ili kutekeleza miradi..
 
Budget inategemea na size ya Uchumi na vipaombele kwa wakati husika..

Pili budget kubwa sio necessary na efficiency itakuwa Bora maana wote tunajua jinsi Kenya mlivyo mabingwa wa upigaji..

Tatu,mwaka huu tuna zoezi la sensa na pesa nyingi zaidi ya bil.600 zimepangwa huko,hata huko Kenya mwka huj bajeti yenu ya Afya itapungua kwa sababu ya Uchaguzi..

Kuhusu Issue ya universal Health care,implementation itaanza next financial year kwa sasa Serikali inamalizia some logistics na arrangements.
You cannot prioritize census over health, election budget has no relation to health neither is it allowed to compromise it, universal health coverage has been adopted as SDG goal, implemented in 2013 when it was introduced with the launch of the free maternity service called Linda Mama and prioritized under the big 4 uhuru agenda...the index has been rising consistently since implementation in and everyday nearing 100% UHC wakati haijaanza pale Tz... You need to reconsider your priorities.
Screenshot_20220518-092745.png
 
Inaonyesha kwamba hamupendi shule, dalili ya umasikini uliokithiri. Sisi sote tunajua Tanzania is the most populous country in EA
Hatupendi shule je chakula tunachowaletea mnakula mnashiba mnapata kujaza choo ni matokeo ya uchawi na co shule?

Mnavyojaza hospitali zetu kutafuta tiba co shule ile?

Ajira tunazowapa mpk tunaongoza kuwapa remittance kwa hapa Africa co shule iliyotumika mpk tunawaajiri maelfu ya wakunya?

Sisi ndio the most inclusive economy country in Africa, co shule hapo imetumika?

Tunaongoza kuwa na miradi yenye thamani kubwa na yenye maana zaidi hapa EA co shule imetumika ku plan?

Tunajitosheleza kwa chakula co shule imetumika?

Tumeiba bomba la mafuta kutoka Kenya kulileta Tz co shule imetumika?

Tumeiba shehena ya mizigo kutoka Mombasa port kuja Dar port co shule imetumika?

Tumeua KQ co shule imetumika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You cannot prioritize census over health, election budget has no relation to health neither is it allowed to compromise it, universal health coverage has been adopted as SDG goal, implemented in 2013 when it was introduced with the launch of the free maternity service called Linda Mama and prioritized under the big 4 uhuru agenda...the index has been rising consistently since implementation in and everyday nearing 100% UHC wakati haijaanza pale Tz... You need to reconsider your priorities.View attachment 2228902
Sorry wewe ni mpumbavu..Uliwahi ona wapi Watzn wanafuata huduma za msingi Kunyaland?

Niwekee namba za Health facilities mlizonazo Nchi nzima na mimi niweke za Kwetu.
 
😅😅😅 Since 2018 hizo romours bado mnangojea? Unajua maana ya romours ama contemplations kweli? 😅😅 Lakini sikulaumu watanzania na Kiki ni chanda na pete
Sisi ndio tumeandika au ni Auditor General wenu? Huyo ndio kamtolee mapovu.
 
Sorry wewe ni mpumbavu..Uliwahi ona wapi Watzn wanafuata huduma za msingi Kunyaland?

Niwekee namba za Health facilities mlizonazo Nchi nzima na mimi niweke za Kwetu.
😅😅 You always resort to anger na matusi mkiambiwa ukweli. Hata USA in 2022 bado ina prioritize health bongo ndo nani? Ama mtafanya juju na ku prioritize witch doctors 😅😅 I won't even be surprised
 
Back
Top Bottom