The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Weka data,mna Health facilities ngapi Nchi yenu yote? Nataka data sio kujichekesha hapa..😅😅 You always resort to anger na matusi mkiambiwa ukweli. Hata USA in 2022 bado ina prioritize health bongo ndo nani? Ama mtafanya juju na ku prioritize witch doctors 😅😅 I won't even be surprised
Tukitoka kwenye Afya tutakuja kwenye maji na Chakula.
Soma hiyo attachment hapo Chini,kuna ujenzi wa Hospital mpya unaendelea na Ujenzi wa Hospital nyingine ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi unaanza mwaka huu 👇