Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado naona ya kwetu ni poa kabisa. Achana na hizo za fun faces.
Ya kwetu pia ni handsome.
😛😀
Achana nae huyo hiyo picha ya train ya silver and blue sio train ya Tanzania sisi tumeagiza train coaches from korea and Germany ambazo zitavutwa na locomotives. Train za electric multiple units za push pull type hizo zimeagizwa kutoka Hyundai. Hivyo wakenya wanajifurahisha kwa picha ambazo sio zetu wao wakae mkao wa kula tuu vyuma vitashuka muda sio mrefu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
image_ef35ef09-7d4c-4137-93ad-fa725f64150920220512_071757.jpg
 
Geza Ulole, huyu ndiye aliyekua anapita na begi lililojaa kura kipindi cha uchaguzi 2020 na kusema kwamba amekamata kura za wizi, na kudai kwamba uchaguzi haukua halali na kwamba uchaguzi ule ulikua ni uhuni wa CCM, bahati mbaya wengi waliamini maneno yake.

Leo hii anadai kura zilizopigwa na baraza kuu la CHADEMA pia ni uhuni kwasababu maamuzi yanamuumiza yeye, huo ndio upinzani wa Africa ulivyo

Tony254
The best 007

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tony254 sisi tumeagiza brand tofautitofauti kutoka nchi tofautitofauti so mpaka zote zinakuja itakua mtu tanachagua apande ipi sio eti brand moja kwa train zote haipendezi. Na hili swala lipo hadi kwenye MGR ambapo hatutumii brand moja na juzijuzi tumeongeza vichwa kutoka Philippines
Same way kwenye ndege tuna airbus, Boeing na dash 8
Hamna vichwa toka Philippines TRC imenunua! Labda ungesema Malaysia!
 
Back
Top Bottom