Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'm seeing poverty all over that picture.
If you are seeing poverty there,what can you call this from Kibera? 👇

Screenshot_20220511-170005.png
 
Hamna lolote, wewe ni wivu unakusumbua tu.
😛 😛 😁

Wewe hiyo sura ya mbele ndiyo inayo kusumbua?? Quality haipimwi na hiyo sura. Bali services and amenities. Regardless their faces, both have the same qualities.

Tunaweza kuagiza hicho kichwa chenye mdomo wa bata muda wowote ule.
Umetaja mdomo wa bata?
1652277595046.png

1652277621524.png

1652277645210.png

download (4).jpeg

1652277699561.png

Hiyo treni yenu ina mdomo wa ngamia
1652277744696.png

1652277770332.png

1652277796680.png

1652277863837.png

1652277893660.png
 
Hahaha. Sasa kama kwenye sura ya train Morocco imewashinda, unategemea mtawashinda kwenye quality ya service na amenities??? Aiseee ile bangi mnavuta huku sijui imetoka Gabon au wapi.

Sura wala haijatushinda. It's just a matter of choice and preference.
Hapo kila mtu kachagua sura yake kulingana na mapendezi yake.

Tony254
Ni kama vile nyie mlivyochagua ile mitambo ya chang'aa ya mama ngina.

😛 😁 😁
 
Kweli sana brother wenzetu hata huny wana dharauliana simply mtu ametoka pande fulani au kabila fulani emu Tony254 nini maaana ya kehe maana kuna jamaa mmoja mkenya aliitwa hilo jina na mwenzake daaah jazba zilimpanda sana!
Kabisa, ukanda na ukabila ni vitu ambavyo vinawasumbua sana hawa watu.
 
Sura wala haijatushinda. It's just a matter of choice and preference.
Hapo kila mtu kachagua sura yake kulingana na mapendezi yake.
Hahaha kwa hivyo taste yenu ndio mbaya? Hamna taste nyinyi watu. Kwa hivyo mna pesa ya kununua mdomo wa bata ila mumeambulia kununua mdomo wa ngamia eti kwa sababu hio ndio taste yenu? Sema tu kwamba hamna mfuko. Morocco na Senegal wana mfuko wa kutosha na ndio maana wananunua mdomo wa bata. Nyie tunawajua ni masikini wa South hamna mfuko.
 
Yaani kwa akili yako huo mdomo ndiyo the major determinant of the price of those ndudez!!?

Kaangalie specs za hizo ndude 2.
 
Mkuu, yaani ulivyoielezea nchi yangu Tanzania hivyo, nikasisimuka na kutokwa na machozi. Ukitembea kila kona unakutana wanakupenda kana kwamba ni ndugu zako.

Kwa vijana, wanapata wachumba popote bila kupata kipingamizi kutoka kwa wazazi wa pande zote. Yaani ni full shangwe.
Kweli mkuu ni ngumu kukosa msaada ukiwa ndani ya nchi hii, tuna upendo sana.Hii yote ni juhudi za wazee wetu kutanguliza utu na ubinadamu ili kujenga undugu ambao tunauishi leo hii.Hawakuwa wabinafsi.

Si unaona hata siku hizi mama kamfundisha Kenyatta majina ya kiundugu anamuita mama dada yangu, baada ya kuitwa kaka.Hii ndio hulka na desturi ya Mtanzania.
 
Back
Top Bottom