Huyu alipewa mabehewa ya Mizigo tu kwenye SGR.hizo behewa za MGR sijui contract but for SGR mkataba uliotangazwa ni Behewa za mizigoMm hata siielewi haya mapicha picha, mm nilikua namjua hyundai rotem tuu huyu sung shin sijui katokea wapi ila kwa kusema ukweli mkuregenzi wa TRC ni mswahili sanaa