Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa,
download (4).jpeg
download (1).jpeg

download (3).jpeg
 
How is this related to poverty in Tanzania?

Just because your exports increased doesn't mean a lot bongolala. It only means that you are now exporting more than you used to export before. Ndio maana neno "grow" limetumika hapo. Try and understand the contents you are posting here.

Lastly, can you name for me just five consumable products from Tanzania zinazojaza shelves zetu as you say?
Nitajie nchi yoyote maskini ambayo ina export zaidi kwa nchi tajiri kuliko ku import toka kwa hiyo nchi tajiri.
 
Geza Ulole, huyu ndiye aliyekua anapita na begi lililojaa kura kipindi cha uchaguzi 2020 na kusema kwamba amekamata kura za wizi, na kudai kwamba uchaguzi haukua halali na kwamba uchaguzi ule ulikua ni uhuni wa CCM, bahati mbaya wengi waliamini maneno yake.

Leo hii anadai kura zilizopigwa na baraza kuu la CHADEMA pia ni uhuni kwasababu maamuzi yanamuumiza yeye, huo ndio upinzani wa Africa ulivyo

Tony254
The best 007

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongo hakuna upinzani kuna wachumia tumbo tu, hata pale CCM kuna malaya wengi sana, wakipewa uteuzi wanaanza mapambio, wakitolewa wanaponda. Kama tungelikuwa na upinzani makini hakuna kipindi CCM ingepata shida kama 2025 but unfortunately hakuna jipya.
 
Sitaki niseme zaid nitakufuruView attachment 2221343
Mtu mwenye uwezo wa kupika chakula tofauti anakula milo 3 anacheka kwamba ana njaa na anaona ni sawa na wale wa kwao ambao hawana hata kitu cha kupika mpaka wanakufia kwenye hema hata maji ya kunywa walikosa.

Serikali yao haijigusi, haisikitiki kwa hali wanayopitia wananchi wake, haina mshipa wa aibu wanasingizia ukame. Nini maana serikali kama haiumizi kichwa wala kuumizwa na wananchi wake kufa njaa?

Serikali haina mfuko wa dharula wa chakula, wawakilishi wao wanawasemeaje huko Bungeni.? Hawa wakenya wana roho mbaya na ya kinyama sana yaani wanamuacha mtu anajifia kama mnyama bandani mwake kisa amekosa chakula kweli??
 
Wazee

Mkenya ukimsikia akiongea utafikiri anamiliki vyote vizuri kwao dawa ni kwenda nao ground🤣🤣🤣🤣🤣
Wenzetu kule north wana dessert kubwa lakin cha ajabu huwezi kuskia njaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom