Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ni moto 🔥🔥🔥

View attachment 2221075
hii hapa acc ya messi haya nioneshe hakuna matata hapa manina 🤣🤣🤣🤣🤣
A4F198B2-D700-4816-BAF7-A757AF0BE4E8.png
 
wacha kujiaibisha anaitwa Lionel Messi na sio Lionel Mercy!
Wewe ndio unajiabisha,mimi likuwa namjibu yule tumbili kwa kuleta uzushi wa Makamba sawa na uzushi wa Messi na Royal tour..

Serikali inasema ruzuku ya mwezi mmja mtu anakuja na upuuzi wake wa eti ruzuku ya mwaka mzima
 
Kuna Battle la Kenya vs Uganda linaendelea huko twitter kutumia hashtag #KenyaVsUganda. Sasa kuna Mkenya kasema kwamba Watanzania wangependa kushiriki katika hilo battle ila hawaelewi kiingereza. Nakuambia Watanzania wamekasirika kwenye comment section.
Kumbe mnapenda wachokoza sana watanzania hata wakikaa kimya mnataka waongee. Sasa ndio mtaona hadi matusi mapya
 
Wakati utafika Ukraine atazuia Bomba kupita kwake na Russia itabidi aanze kucheka na West wambembeleze Ukraine asikate Gas.UK ndio hana presha kabisa na mambo ya GAS na ndiye mshirika wakweli wa Ukraine.Ujeruma,Austria,Hungary ni waganga njaa na ndio wanaolialia na Gas
Ukraine hana ubavu huo na ulaya hauna ubavu wa kukataa kununua gesi kwa urusi ebu fuatilia vizuri, mafuta tuu yamemtoa jashoo itakua gesi ndio maana wameanza kutii amri kulipia in ruble
 
This is ur tiny funcity at Utawala

Plse don't confuse that with mega funcity in Kigamboni Dar es Salaam!

Mbona munapost kama ni tiny. 🤣 🤣 🤣 Nairobi has alot of theme parks hadi munaforce zingine zikue zenu.
 
Kumbe urusi wakitaka kumaliza wanafunga gesi tu . Western Europe wananchi lazima waandamane na vita inaisha . Maana ukraine wameweza kucompete kwa siraha kuta nayo yaani Marekani na wanaulaya magharibi
Mrusi mbabe sana 😅😅
 
Back
Top Bottom