Yeah Malaysia, nimechanganya hapo 😀Hamna vichwa toka Philippines TRC imenunua! Labda ungesema Malaysia!
Naomba unioneshe ya kwetu kunyaland ikoje😁😁😁😁😁Hii hapa bullet train ya Morocco
View attachment 2220565
View attachment 2220568
Linganisha na mtungi wa Konyagi wa Tanzania
View attachment 2220567
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Niendelee ama niachie hapo?
🤣🤣🤣🤣🤣Mbwa wewe, yn hapa ni Jangwani?View attachment 2220820View attachment 2220821
Muache ajifurahishe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huwa unajitoa akili kuchangamsha genge au uko serious? Unabisha usichokijua. Brt wanahana hapo Jangwani wanahamia Ubungo ambapo zamani ilikuwa central bus station ambayo imehamia Mbezi(Magufuli terminal).
Btw masika hii Jangwani hapajajaa maji,wamechimba MTO Msimbazi
unitag plz 🤣🤣🤣Leta tuzione! hapo Kunyaland ukiwa na ferries wheel alone tayari unakuwa waterpark hata bila pools n fountains!
Boss, huku ni Kenya 😅 umewatch kweli ama unazirusha tu
😂😂😂😂 hvi kati ya RT na CNN ipi ina propaganda ??Una quote Russia Times (RT) and then you mock him for quoting CNN.
Don't you see your hypocrisy sometimes.
RT is Russia propaganda kama CNN.
Naafikiana na wewe nakumbuka hadi wafanyabiashara wakubwa walishirikishwa kwa ajili ya kutoa input zao kwa ajili ya kujua demand ili mabehewa hayo yanayotengenezwa yaendane na soko!!Hakukuwa na coaches hapa!Juu ya MGR hata mimi sijui.Huyu alipewa mabehewa ya Mizigo tu kwenye SGR.hizo behewa za MGR sijui contract but for SGR mkataba uliotangazwa ni Behewa za mizigo
kwani fun city iko kenya??😂😂😂
haamini macho yake hajui sisi hayo mambo yako zaidi ya miaka 20 huku 😂😂😂Utawala kuna minazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijawahi kuona Tanzania ina njaa mpaka ikatangazwa kama janga la dharula.Labda wewe ndio umekosa ujasiri wa kuamini unachokiona
New wip
nini mkuu?Wivu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haamini macho yake hajui sisi hayo mambo yako zaidi ya miaka 20 huku 😂😂😂