Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Labda wewe ndio umekosa ujasiri wa kuamini unachokionaUna ujasiri wa kutosha kwa hiki unachopost?
Labda wewe ndio umekosa ujasiri wa kuamini unachokionaUna ujasiri wa kutosha kwa hiki unachopost?
Manzee umeniua na kicheko 😂Umetaja mdomo wa bata?
View attachment 2220636
View attachment 2220638
View attachment 2220639
View attachment 2220641
View attachment 2220643
Hiyo treni yenu ina mdomo wa ngamia
View attachment 2220645
View attachment 2220647
View attachment 2220648
View attachment 2220651
View attachment 2220653
Unaweza kusema ni JapanHii kitu babkubwaView attachment 2219981
Mtu kama huyu mnampa video konki see how Ubungo Bus Terminal converted into a Beautiful BRT Bus Depot
Ni Dar jiji la uswaziMbwa wewe, yn hapa ni Jangwani?View attachment 2220820View attachment 2220821
We boya, Japan hakuna uswaziUnaweza kusema ni Japan
By the way, this road has been under construction all this time but we've been so quiet about it. Not many of us Kenyans here were talking about it in this forum. Ingekuwa ni kule bongo, they could be posting it here ten times a day
Patrol boats mbili za Russia zimelipuliwa kama mburukenge na TB2 drone ya Ukraine
Cc ichoboy01 The Sunk Cost Fallacy
mwenyekiti nimerudi naona nikiwa sipo munakosa raha kabisa 😂😂 tulia dawa ikuingia kwanza hii battle mulishashindwa mapema sana kinachofanyika ni kuonesha umma kua tanzania iko mbali sanaMwarabu ichoboy01 mpwa wa Rostam siku hizi amejikita kwenye Ukraine vs Russia war venye aliona TZ imeshashindwa kwenye hii battle yetu.
hvi kati ya tanzania na kenya ipi nchi ya kwanza kua na ferris wheel? hebu niambie hapa na ukidanganya tu nakuwashia moto 🤣🤣🤣Hii merry go round inapiga full rotation na dakika moja kama gurudumu la pikipiki, ndio ichoboy01 huita Ferris Wheel ya Dar es salaam.🤣 🤣 🤣
![]()