Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama miezi kadhaa nyuma alisema tumetok middle income then juzijuzi kasema tena tupo middle income na thanks za kutosha kwa kutofungia uchumi.
Nilimsikia Rais mwenyewe na Waziri wa kilimo wakisema mafuta pia yanatoka huko on top of Malaysia .

Hao Malaysia mnawasema wamezuia exportation ya mafuta yao pia.

Well je hayo ni matatizo ya serikali kujitakia? Nani hajui kwamba mwaka toka mwaka Jana na huu mvua zimesua saua na hivyo uzalishaji kuathirika?

Sie tulioko mikoani tunaolima tunaona,bei ya gunia la mpunga 80,000 ,bei ya gunia la mahindi 45,000 na huu ni msimu wa mavuno hizi Bei hazijawahi fikiwa..
Ninacho kiona ni upofu ulio jiwekea kwa mapenzi , lkn Tz inagiza mafuta Uturuki, Arabians countriee, malaysia singapore, ukisema wamefungia mafuta nakushanga sabab sahii mafuta ya OKI yamejaa madukani...apo kadanganye wasio jua ...ninaka sidehustle nafanya ndio mana niko more informed
 
Screenshot_20220510-113725-620.png
 
Alichowaachia Nyerere ni ujamaa. A stupid philosophy that you have since dropped like a hot potato
Always play stupidy, mko na GDP 114b yet pops its your fevority food[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], were exactly did you get that energy to argue against philosophy of our national father? Give the fact, the only thing your national founder left is betrayal against fellow nations[emoji706]
 
Stupid philosophy ndiyo inayowalisha na kuwatoa katika njaa ya kifo.

Stupid philosophy ndiyo inayojenga miradi ambayo kwenu ni ndoto na hamtokuwa nayo kwa miaka 200 ijayo.

Stupid philosophy ndiyo iliyoleta amani ambayo nyinyi hamtokuwa nayo mpk Yesu arudi.

Stupid philosophy ndiyo inayofanya Watz tuwe tuliostaarabika yani wise people unlike you.

Stupid philosophy ndiyo imefanya tuwe na inclusive economy.

Stupid philosophy ndiyo iliyofanya tuendelee kuwa na ardhi kubwa yenye mali nyingi ambazo zingine tumewapora wapumbavu kama nyie na bado tutakuja kuwapora maeneo mengine mfano Mombasa.

Stupid philosophy.........?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali ni nini baba wao wa taifa ameifanyia kenya? Zaidi ya kuwapa ukabila, kuwaibia ardhi,kuwasaliti wafrika wenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kuwapa elimu ya kula mafiiii[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Acha makasiriko dada, kama mimi ni mjinga unaonaje wewe ukawa kichwa changu nipumzike kureason
Safi !! basi kuwa ivo!! kwa kuwa kwako hilo linawezekana! ..........nikisema chizi maarifa! utasema natukana kamwe huwezi dhihirisha hasira kwenye Bandiko Langu ni wewe umekuja kwa makasiriko!...japo unatuudhi wasomi!
 
This world is full of clowns. A person is able to speak and write a foreign language almost fluently but cannot speak and write his or her own language fluently

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hayo ni mamindoto ya alinacha!! unafwanya maigizo! Lugha yako umeikulia na umeyiishi usiielewe? ndiyo mana nasema hujasoma kilaza weye! rudi drsani!...problem yenyu Mi-tz vilaza mnataka tuwongeye km nyie! haiwezekani!
 
Halafu wewe una exaggerate hiyo lugha unayoiandika humu sasa unaingiza lafudhi za kibaniani tena!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yaani mumekwisha kuruka ruka tuuuu!! hap unaelewa bhizuri ila kujifwanyaaaa sana sana wakti TZ matu meeengi hamujuyi chiswahili,,km wasukuma .....utalia chini
 
If our president owns a helicopter we will definitely take him or her to task ndio atueleze kwa mshahara wake amewezaje kununua helicopter sisi Watanzania sio watu wa kuchezewachezewa kirahisi na wanasiasa kama nyie.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
You are a fool, kwani lazima tu anunue kwa mshahara wake?
 
Always play stupidy, mko na GDP 114b yet pops its your fevority food[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16], were exactly did you get that energy to argue against philosophy of our national father? Give the fact, the only thing your national founder left is betrayal against fellow nations[emoji706]
Our founding father left us with the spirit of Harambee. That pulling resources together is the cornerstone of development. Harambee also taught us not to lazy around, not to expect everything from the government like you do down there. That nothing comes on a silver platter, you have to work your ass out for everything you have. That is what has driven our economy, the DGP you've quoted above, despite us being the least resource-endowed country in this region. Now you know bongolala
 
Back
Top Bottom