Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee! ndo ako asijue Lugha!! tangu mwaka ghani kichwa ya muntu ikawa maji?? si weye gonjwa iko!! huoni?? weee ndio nakaa kwa Bongo land lkn aijue kitu kswahili nmana inaongea wewe nini bwana jinga kabhisaa wewe hakuna school ni buree tu!
Wewe bila shaka ni mkalenjin hiyo heavy accent yako shidaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
tanzania is the only country in the world thts.. "self-proclaimed" developed country, thts according to UN Report 2022, and NewYorkTimes
CC. Thebest007, jiwe la moto
Danganyika bado ni LDC according to UN
Screenshot_20220510-070611.jpg
 
Achana na hao haters wengi wao ni walimeza ujinga wa awamu ya 5 ,sisi tunaangalia matokeo yenye tija kwa Taifa..

Mtu kama hataki kuelewa si unamuacha? Kwanza wanamchukia sio kwa sababu za utendaji ni kwa sababu ya Uanamke wake na Uzanzibari wake nothing else.

So point ni uchukie au usichukie hilo halimzuii kufanya Kazi..No one cares by the way..

Nasisitiza,moja ya Rais aliyeonyesha utendaji mzuri na matokeo makubwa kwa kipindi kifupi Sana ni Samia,so kila mtu abakie na msimamo wake.

And Samia is aware of this very well thus why She gives no dawn on these fools,at a certain perticular time she once used to say these words below[emoji116]

View attachment 2218674
Mkuu, punguza jazba na uwe unatoa maoni yako ukiwa "fair". Sijasema watanzania wanamchukia, nimesema hawamuelewi, punguza hasira wote ni watanzania Kama wewe Wana haki ya kutoa maoni Yao kuhusu nchi inavyoendeshwa, kwanini hakuna anayesema wewe umezidisha mapenzi kwasababu zako binafsi?.

Huku katika mitandao ya kijamii unapata picha nzuri ya kujua kwa ujumla nini watanzania wanataka kwasababu watu waliopo humu " is very good representation of random sampling of Tanzanians", sio kweli kwamba watu wote wanaomchukia Samia walijikusanya ndio wakaamua kufungua "accounts za Twitter" au JF.

Ni muhimu Sana kwa kiongozi kusikiliza maoni ya watu anaowaongoza kupitia njia mbali mbali ili kuwa na ukaribu na wananchi wake, badala ya kusema kwamba watu wanamchukia

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..

Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..

Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..

Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...

Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..

Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..

Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..

Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
 
Kiinglish chako sasa engiiner.
😛 😛 😛
Save the typo, the English is good. That's why I've been ignoring you bozos over-quoting it. Of course you wouldn't notice real grammatical errors, your simple minds can only notice a missing adjective, which anyone who understands English will note, is a typo.
 
Mkuu, nchi hizi ambazo zinaongozwa kwa misingi ya Katiba, yaani viongozi kupigiwa kura na wananchi, Moja ya matatizo yake ni hayo, kwamba mamlaka na maamuzi ya mwisho ni wananchi walio wengi, sio wasomi wenye akili nyingi, Wala serikali.

Kazi kubwa ya kiongozi Bora, ni kuwaunganisha wananchi wote, wajinga na wasomi ili waende kwa pamoja. Kiongozi jukumu lake ni kuwaelimisha wajinga ili wamuelewe, sio watu wote wana upeo ulio sawa sawa ktkt kuelewa Mambo, Sasa hao wajinga haina maana kwamba wanamchukia.

Kiongozi ambaye hawezi kuwashawishi wananchi ili waweze kuelewa kile anachowafanyia, atakimbilia kusema watu wananichukia, mwisho wake ataigawa nchi kwa misingi ya udini, jinsia, mikoa, uchama, au kabila.

Muhimu kwa wale wanaomuelewa (wanaompenda), lazima wajitahidi kuwaelimisha na kuwashawishi wale wasiomuelewa(wasiopenda), ili wamuelewe(wampende) waweze nao kumuunga mkono.

Mwisho wa siku walio wengi ndio wasikilizwe na wawe na maamuzi ya mwisho, bila kujali Kama ni wajinga au wenye akili, ndivyo Katiba inavyotaka, kinyume na hapo atakuwa amepoteza uhalali wa kuongonza nchi kwa misingi ya Katiba iliyomuweka madarakani, hatufai.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
While you're fixing, we are also growing bigger and better. Unless we were stagnant..........

I can tell you in Africa Kenya has way better internet penetration and quality than most countries other than the tiny wealthy ones such as Mauritius.
Who told you while you are growing Sisi hatuendelei? Have you ever used or experienced Tanzania internet?
 
Moja ya watu wajinga Sana ni pamoja na wewe,Tanzania sio kisiwa kwamba inaishi ulimwengu wake..

Kwa kuwa wengi wenu mna akili ndogo sio rahisi kuelewa logic ya kujilinganisha na wengine..

Nakupa mfano,itokee leo Serikali inaondoa sh.1,000 tuu kwenye mafuta ,bei inaweza kuwa chini by far ukilinganisha na Majirani.Je utakuwa tayari kutoa pesa na rasilimali kulinda mafuta yasitoroshwe na kuleta upungufu Nchini?.

Kwa logic hizo kujilinganisha ni lazima ila kama una akili kama funza utaishia kuongea ujinga tuu,so kwa mantiki hiyo serikali haiwezi kukurupuka kufanya uamzi,hata kwenye covid haikukurupuka ndio maana hatukufikia - ve growth
Tatizo lako ww ni kulalama tuu hunaga hoja ,jibu kwa facts sio maneno ya kwenye kanga
 
Who told you while you are growing Sisi hatuendelei? Have you ever used or experienced Tanzania internet?
Yes I have.

Sijasema hamuendelei, nimesema pia Sisi tunaendelea so don't assume just because mnaendelea mtatupiku.

Anyway, my point is, quality triumphs over cost. Here in Kenya, we have very cheap service providers but no one bothers with them. Our Airtel is probably cheaper than Tanzania but barely anyone uses it. Nobody complains about internet prices in Kenya because the internet is fast and very reliable.

In my house, I use Safaricom Home Fibre cable internet. I mostly pay for the cheapest package - Bronze package - 8MBPS and I pay KES 3,000 (TSHS 60,000) per month and it's very reliable. In fact all tests I've done show speeds higher than 6MBPS. There almost no downtimes unless there's maintenance which I'll be informed a day prior. Here are Safaricom's packages.
Screenshot_20220510_090527.jpg

Meanwhile, Airtel offers less than half Safaricom prices yet no one bothers.
 
Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..

Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..

Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..

Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...

Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..

Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..

Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..

Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
mafuta gani ya kula tunaagiza Ukraine? ungesema Indonesia au Malaysia ningekuelewa! japokuwa gharama za kusafirisha mafuta zimepanda, Tanzania haiagizi mafuta ya kula toka ukraine!
 
Sema ngano tunatoa urusi na ukraine lakini sio mafuta, asilimia kubwa mafuta Tz inachukua uarabuni na malaysia,apo umedanganya
 
Hata Ngano Tanzania hu-import toka Russia!

Tanzania Imports from Russia of Wheat and meslin

Tanzania Imports from Russia of Wheat and meslin was US$95.03 Million during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Tanzania Imports from Russia of Wheat and meslin - data, historical chart and statistics - was last updated on May of 2022.

 tanzania imports russia wheat meslin

TanzaniaLastPreviousHighestLowestUnit
Balance of Trade-1118.60-562.30-98.80-1866.33USD Million[+]
Current Account-769.10-340.7063.50-1725.87USD Million[+]
Current Account to GDP-1.50-2.40-0.20-13.40percent of GDP[+]
Imports2394.002091.703062.081635.30USD Million[+]
Exports1895.501962.801962.80979.82USD Million[+]
Terms Of Trade106.10106.50119.40100.00points[+]
Terrorism Index3.113.273.980.06[+]
External Debt28355.3028322.1028355.302469.70USD Million[+]
Capital Flows-173.20-595.001606.20-1327.00USD Million[+]

Copyright ©2022 TRADING ECONOMICS
All Rights Reserved

Sema ngano tunatoa urusi na ukraine lakini sio mafuta, asilimia kubwa mafuta Tz inachukua uarabuni na malaysia,apo umedanganya
Nilimsikia Rais mwenyewe na Waziri wa kilimo wakisema mafuta pia yanatoka huko on top of Malaysia .

Hao Malaysia mnawasema wamezuia exportation ya mafuta yao pia.

Well je hayo ni matatizo ya serikali kujitakia? Nani hajui kwamba mwaka toka mwaka Jana na huu mvua zimesua saua na hivyo uzalishaji kuathirika?

Sie tulioko mikoani tunaolima tunaona,bei ya gunia la mpunga 80,000 ,bei ya gunia la mahindi 45,000 na huu ni msimu wa mavuno hizi Bei hazijawahi fikiwa..
 
Save the typo, the English is good. That's why I've been ignoring you bozos over-quoting it. Of course you wouldn't notice real grammatical errors, your simple minds can only notice a missing adjective, which anyone who understands English will note, is a typo.

😛 😛 😛
Engineer,
Keep on hiding behind those lame and fake excuses.
 
Mkuu, punguza jazba na uwe unatoa maoni yako ukiwa "fair". Sijasema watanzania wanamchukia, nimesema hawamuelewi, punguza hasira wote ni watanzania Kama wewe Wana haki ya kutoa maoni Yao kuhusu nchi inavyoendeshwa, kwanini hakuna anayesema wewe umezidisha mapenzi kwasababu zako binafsi?.

Huku katika mitandao ya kijamii unapata picha nzuri ya kujua kwa ujumla nini watanzania wanataka kwasababu watu waliopo humu " is very good representation of random sampling of Tanzanians", sio kweli kwamba watu wote wanaomchukia Samia walijikusanya ndio wakaamua kufungua "accounts za Twitter" au JF.

Ni muhimu Sana kwa kiongozi kusikiliza maoni ya watu anaowaongoza kupitia njia mbali mbali ili kuwa na ukaribu na wananchi wake, badala ya kusema kwamba watu wanamchukia

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa kiazi sana, hivi nikimkatalia chizi anaeshinda jalalani asikae kwenye sofa langu utasema namchukia?
 
Ndiyo unamchukia!! halafu utakuwa mjinga bin kilaza sana,km ulivyo jitanabaisha hapo juu mwenyewe!! kwani sofa umeweka la nini hapo??.....watu..au maonyesho?? chizi kushinda jalalani haina maana analeta jalala kwenye sofa lako!!

watu wote wanatumia hilo jalala kutupa taka zao zitokazo majumbani mwao!! ivo chizi kushinda hapo jalalni hakufanyi awe mchafu!! kasome upya uje zichi weye!mfyuuucxv
 
Back
Top Bottom