Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaojua kingereza Kenya hawafiki 1% ya Wakenya wote, wengi wao ni wale wakenya wa zamani, Wakenya wa sasa hawajui kingereza wala kiswahili zaidi ya kubambia bambia vineno viwili vitatu vya mitandao.
Halafu wanasema elimu yao iko juu. Hata kiingereza chao wanachoandika hakijanyooka wakati sisi tunaweza kuandika gazeti kwa kiswahili chetu fasaha.
 
Mimi silalami,kitu gani ambacho sijajibu? Hujaelewa maelezo yangu? Kama hujaelewa hilo ni tatizo lako binafsi maana nimekujibu vyema..

Wewe endelea kulaumu maana ni wale wale
Bungeni sasa hivi wanazungumzia vitu kupanda bei na mafuta. Makamba anaongea sasa hivi kama unaaccess na redio au tv sikiliza sasa hivi.
 
Mambo aliyoacha ameyasett kipindi hicho hadi sasa hivi yanareflect maisha yetu.Tukilumbana na kukosa muelekeo tunarudi tena kutaka kujua sera ya Baba wa Taifa inasemaje. Misingi imara aliyoiweka mzee wetu inatuongoza mpaka sasa hivi.

Hivi Kenyatta huwa mnamuona kama Baba wa Taifa lenu, au kwa kuwa alikufia ndio basi tena hana umuhimu kama Kibaki?

Seriously nyinyi hamna heshima, utu na kuthamini michango ya wezee wenu.Hii ni laana mjitakase lasivyo uovu wenu utawatafuna vizazi vyenu vyote.
Alichowaachia Nyerere ni ujamaa. A stupid philosophy that you have since dropped like a hot potato
 
Hapo ndipo mnapojidhalilisha na kuonekana ninyi ni wapumbavu wa mwisho, mbona sijauliza kuhusu Jommo Kenyatta, kwasababu alikua kiongozi na aliacha "Legacy" hapo Kenya, Sasa mama Ngina alikua nani hapo Kenya zaidi ya kumvulia chupi Jommo Kenyatta?, Kwahiyo mnakumbuka na kuenzi "Legacy" ya kuvua chupi?,

Hivi unaweza kunitajia jina la mke wa rais wa nchi yoyote hapa duniani ukiwacha Winnie Mandela ambaye yeye mwenyewe binafsi alikua mwanaharakati mkubwa, ambaye hadi Leo watu wanamuenzi na kumkubuka?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unaumwa na nini sisi kufanya maamuzi ya kuwakumbuka wakenya Wenzetu kwa kuyapa taasisi mbalimbali majina yao. Hayo ni mambo yetu kama nchi, sasa wewe unaumwa kwa nini na kama nani? Shugulika na masuala ya danganyika
 
Alichowaachia Nyerere ni ujamaa. A stupid philosophy that you have since dropped like a hot potato
Stupid philosophy ndiyo inayowalisha na kuwatoa katika njaa ya kifo.

Stupid philosophy ndiyo inayojenga miradi ambayo kwenu ni ndoto na hamtokuwa nayo kwa miaka 200 ijayo.

Stupid philosophy ndiyo iliyoleta amani ambayo nyinyi hamtokuwa nayo mpk Yesu arudi.

Stupid philosophy ndiyo inayofanya Watz tuwe tuliostaarabika yani wise people unlike you.

Stupid philosophy ndiyo imefanya tuwe na inclusive economy.

Stupid philosophy ndiyo iliyofanya tuendelee kuwa na ardhi kubwa yenye mali nyingi ambazo zingine tumewapora wapumbavu kama nyie na bado tutakuja kuwapora maeneo mengine mfano Mombasa.

Stupid philosophy.........?
 
Kama ni bora zaidi as you paint it, mbona hamkuendelea nayo? Kunani tena?
 
Wewe unaumwa na nini sisi kufanya maamuzi ya kuwakumbuka wakenya Wenzetu kwa kuyapa taasisi mbalimbali majina yao. Hayo ni mambo yetu kama nchi, sasa wewe unaumwa kwa nini na kama nani? Shugulika na masuala ya danganyika
Huyu kenge siku hizi anajitahidi sana kwenye kiswahili, wakunya muushukuru sn huu uzi, umewafumbua mambo mengi sana.
 
Stupid philosophy ndiyo inayowalisha na kuwatoa katika njaa ya kifo.

Stupid philosophy ndiyo inayojenga miradi ambayo kwenu ni ndoto na hamtokuwa nayo kwa miaka 200 ijayo.

Stupid philosophy ndiyo iliyoleta amani ambayo nyinyi hamtokuwa nayo mpk Yesu arudi.

Stupid philosophy ndiyo inayofanya Watz tuwe tuliostaarabika yani wise people unlike you.

Stupid philosophy ndiyo imefanya tuwe na inclusive economy.

Stupid philosophy ndiyo iliyofanya tuendelee kuwa na ardhi kubwa yenye mali nyingi ambazo zingine tumewapora wapumbavu kama nyie na bado tutakuja kuwapora maeneo mengine mfano Mombasa.

Stupid philosophy.........?
Stupid philosophy haijawajengea mradi wowote. Miradi yenu yote ni loans mwanzo mwisho
1651668374260~2.jpg
 
Stupid philosophy haijawajengea mradi wowote. Miradi yenu yote ni loans mwanzo mwisho View attachment 2218830
Kama hizo loans za kujenga miradi kama hiyo ni rahisi kuzipata namna hiyo mbona nyie hamkujenga? Na si nyie ni ombaomba wa dunia? Mbona hamkuomba mpewe mkopo wa kujenga vitu muhimu kama hivyo?
 
Huyu kenge siku hizi anajitahidi sana kwenye kiswahili, wakunya muushukuru sn huu uzi, umewafumbua mambo mengi sana.
Afadhali mimi kiswahili changu kimeimprove thanks to jf. Wewe Kiingereza yako bado ni ya mwananyamala tu
 
Kama hizo loans za kujenga miradi kama hiyo ni rahisi kuzipata namna hiyo mbona nyie hamkujenga? Na si nyie ni ombaomba wa dunia? Mbona hamkuomba mpewe mkopo wa kujenga vitu muhimu kama hivyo?
Sasa wewe hapo mwananyamala mlala hoi unabishana na Rais wako wa nchi? Who knows better between you and her?
 
Alichowaachia Nyerere ni ujamaa. A stupid philosophy that you have since dropped like a hot potato
Ujamaa ndio umoja wetu,upendo wetu, utajiri wetu, ushirika wetu, maendeleo yetu pasipo kubaguana kwa makabila wala ukanda na udini.

Kwahiyo hiki kitu kwa akili yako unaona n kitu kibaya? Hadi nimekuonea huruma kwa jinsi ulivyoongea.

Haya yote niliyoyataja nilinganisha na kwenu mabepari.
 
Kama ni kizuri mbona maliachana nayo?
 
Back
Top Bottom