Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, nchi hizi ambazo zinaongozwa kwa misingi ya Katiba, yaani viongozi kupigiwa kura na wananchi, Moja ya matatizo yake ni hayo, kwamba mamlaka na maamuzi ya mwisho ni wananchi walio wengi, sio wasomi wenye akili nyingi, Wala serikali.

Kazi kubwa ya kiongozi Bora, ni kuwaunganisha wananchi wote, wajinga na wasomi ili waende kwa pamoja. Kiongozi jukumu lake ni kuwaelimisha wajinga ili wamuelewe, sio watu wote wana upeo ulio sawa sawa ktkt kuelewa Mambo, Sasa hao wajinga haina maana kwamba wanamchukia.

Kiongozi ambaye hawezi kuwashawishi wananchi ili waweze kuelewa kile anachowafanyia, atakimbilia kusema watu wananichukia, mwisho wake ataigawa nchi kwa misingi ya udini, jinsia, mikoa, uchama, au kabila.

Muhimu kwa wale wanaomuelewa (wanaompenda), lazima wajitahidi kuwaelimisha na kuwashawishi wale wasiomuelewa(wasiopenda), ili wamuelewe(wampende) waweze nao kumuunga mkono.

Mwisho wa siku walio wengi ndio wasikilizwe na wawe na maamuzi ya mwisho, bila kujali Kama ni wajinga au wenye akili, ndivyo Katiba inavyotaka, kinyume na hapo atakuwa amepoteza uhalali wa kuongonza nchi kwa misingi ya Katiba iliyomuweka madarakani, hatufai.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wajinga wakiwa wengi tuwasikilize? Nyerere alikataa ujinga huu waloposema Chini iwe ya chama kimoja
 
Rais anaenda kwa Mseven,mwenye kujua specific issues za ziara atumegee 👇

20220510_091640.jpg
 
Mkuu, Kuna uwezekano mkubwa Sana kwamba zaidi ya 90% ya watanzania hawamuelewi rais wetu, hebu pitia "Comments" za watanzania katika hii Twitter


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Si bora comments mkuu ambao ni watu unaoweza kusema wanafuatilia mitandaoni, kwenye vituo vya daladala, sokoni na mikusanyiko ya watu, wote hawa wanalalamika hali mbaya.
 
Ndiyo unamchukia!! halafu utakuwa mjinga bin kilaza sana,km ulivyo jitanabaisha hapo juu mwenyewe!! kwani sofa umeweka la nini hapo??.....watu..au maonyesho?? chizi kushinda jalalani haina maana analeta jalala kwenye sofa lako!!

watu wote wanatumia hilo jalala kutupa taka zao zitokazo majumbani mwao!! ivo chizi kushinda hapo jalalni hakufanyi awe mchafu!! kasome upya uje zichi weye!mfyuuucxv
Acha makasiriko dada, kama mimi ni mjinga unaonaje wewe ukawa kichwa changu nipumzike kureason
 
Wala sio jazba,ndio nimeweka ushahidi wa maneno yake mwenyewe na Hata juzi siku ya uhuru wa habari aligusia maswala hayo hayo ya kumtukana so anaelewa Hali halisi..

Haihitaji kutumia maneno ya kupunguza makali eti hawamuelewi,big noo bali wanamchukia kwa sababu nilizoeleza hapo juu na Hali halisi ya maisha pia..

Licha ya serikali kueleza sababu lakini hawataki kuelewa kwa sababu ya chuki na ujinga mwingi..

Saizi tuu nimetoka kumsikia mtu akisema eti alizeti tunalima hapa hapa mbona bei ya mafuta iko juu? Hatuna Rais kila kitu Ukr...huu kama sio ujinga ni kitu gani? Huyu anaesema hivi hajui kwamba zaidi ya 50% ya mafuta ya kula tunaagiza Nje tena Ukr ambako hakuna uzalishaji wala usafirishaji kwa sababu za vita,hajui hao Ukr wanazalisha zaidi ya 40% ya mafuta ya alizeti Duniani achilia mbali ngano and the likes...

Huyo huyo mtu haelewi kwamba licha ya hiyo distortation kwenye supplies lakini kuna factor ya usafiri na covid ilishavuruga mambo..

Sasa hoja yangu kama ningekuwa mshauri wa Rais,,Unapoongoza watu wajinga usiwape uhuru to that extent coz ni detrimental kwako..

Nchi zote zilizoendelea Duniani wakati ziko kwenye ujinga zilidhibiti Hawa watu Kwa mkono wa chuma hadi pale walipofikia ustaarabu na ndio uhuru unafuata,kinyume chake ajiandae kwa makubwa zaidi..

Mwendazake aliwajulia Hawa watu ila tuu kwenye sera za Uchumi ndio alizingua,be like Kagame,Museveni and the likes ,,unawanyika uhuru ila hucompromise economy..
Taratibu wameanza kutiii hahahahahahahahahahahahahahaaahaaahhhahahahahahahahahhahahahaahahahahahhaaahahahahahahahahahaaaaaaaasaa
 
Si bora comments mkuu ambao ni watu unaoweza kusema wanafuatilia mitandaoni, kwenye vituo vya daladala, sokoni na mikusanyiko ya watu, wote hawa wanalalamika hali mbaya.
Mm nilijua cku nyingi kwamba palipo na maji mafuta hujitenga, nilijua fika kwa uwezo aliokuwa nao Rais huyu hatomaliza mwaka kabla ya watu kumstukia, wajanja tulimstukia mwezi mmoja tu baada ya kuingia ikulu.
 
Si achunguze kwa ya kamusi ako??? huna books kwa home shelf wa nyumbaniiii!buana?? muyachege vijuaji viiingi za kishamba!...najua hapana kusoma uzuri weye! primitive no sense kabisa!
This world is full of clowns. A person is able to speak and write a foreign language almost fluently but cannot speak and write his or her own language fluently

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ebu jiulize huyu huko kwao ndiye master wa Kiingereza, Kiswahili kikoje? Kumbe hawa jamaa ni watu wachache wanaojua lugha zote 2 kwa ufasaha.
Wanaojua kingereza Kenya hawafiki 1% ya Wakenya wote, wengi wao ni wale wakenya wa zamani, Wakenya wa sasa hawajui kingereza wala kiswahili zaidi ya kubambia bambia vineno viwili vitatu vya mitandao.
 
Back
Top Bottom