Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais gani yule aliyesema Tz imerudishwa ldc alafu siku mbili mbele akasema Tz ni LMC? Au ni yule aliyesema bei ya mafuta Tz ipo chini kuliko America?
Kwa hivyo leo Rais wa jamhuri ya Tanganyika haaminiki kwa lolote kisa kasema miradi mikubwa yenu yamefadhiliwa na mikopo?
 
Serikali imetoa shilingi bilion 100 kama ruzuku kupunguza bei ya mafuta nchini. Hii itakuwa na impact gani kwenye uchumi ili kupunguza makali ya maisha. Wataalamu wa mambo uchumi hapo pamekaaje?
 
Sasa hivi usingeitaja maana tulishaachana nayo na hatuitumii tena, halafu sisi hatufungamani na upande wowote. Tuko Neutral!
Mbona mliachana nayo if it was so good? You know what they say? That change is inevitable
 
Back
Top Bottom