Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukiwaambia Kenya inadevelop fast munaanza kulialia. Sasa ona unatupostia picha za zamani over ten years ago flyover ikiwa bila rangi.View attachment 2184082
Machinga kama wote
Screenshot_20220411-211806.jpg
 
😂😂😂😂 Hii barabara ya 4 lanes ni ya Thika na ina km 50 sasa hizo lanes zenye kilometers 467 ni za barabara ipi?

Eti lane 4 km 567? How?
nime realize, hawa watanganyika wakiona hawana kitu flani yenye mwenzao anayo... wanaanza kuitafutia vijimakosa ndogo ndogo.... oo, mara, the roads are unmarked, hee.. mara sasa sijui mpaka nakuru mbona sio 4lanes... mara ngeeeny... mara ngooooong
Huyu hajawai kuona milango ya driving school walahi
 
Back
Top Bottom