Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wakenya kweli ninyi ni wachoyo, kumbe mna flyover nzuri hivi lakini hamtaki kushare na sisi? Why? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

You kept it secret for so long πŸ˜’
images - 2022-04-11T175746.710.jpeg

images - 2022-04-11T175736.264.jpeg
 
ujue wewe ni tahira,kipi kibaya alichokisema gwajima ? mtu kaongea vitu vya msingi wewe unakuja kuongea utoto hapa,

yaani 5yrs unaiita long term plan,wewe si bure ni kichaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Taahira ni wewe na baba yako.Nimekwambia tuna vision inaishia 2025/2026 na Gwajima ka I site hiyo..

Utekelezaji wake unafanyika kwa k malengo ya kila miaka 5 na ina breakthrough kwa mwaka mmja mmja ..

Gwajima anataka iwe kwa miaka Zaidi ya hiyo..

As for me cha maana kabisa nilichokiona ni kwamba dira haijatungiwa sheria Ili kulazimisha regime kujikita huko,ndio jambo la msingi la kufanya sasa..

Hujaelewa afu unakurupuka tuu kama mkojo wa asubuhi.
 
Hii road furniture huwa inawekwa kutoa information kwenye highway yenye multiple lanes diverting into different routes ila sababu hamna barabara ya aina hiyo kwenye hiki ki 2 lanes mmeamua kuweka maneno ya wana motivational speakers instead of appropriate messages, mna safari ndefu mno πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2184010
wewe kafarr.. nadhan umekwisha pokea jib..

934-thika-road-super-highway-1392x928.jpg
THIKA-ROAD-SIGNS.jpg
ark-lab-thika-road-signage-04-700x394.jpg
20220411_170254.jpg
kisumo dalaπŸ‘‡πŸ½
Screenshot_20220411-190829_Video Player.jpg
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nye nye nye sisi tuna GDP kubwa ona aibu hii sasa
 
Hii road furniture huwa inawekwa kutoa information kwenye highway yenye multiple lanes diverting into different routes ila sababu hamna barabara ya aina hiyo kwenye hiki ki 2 lanes mmeamua kuweka maneno ya wana motivational speakers instead of appropriate messages, mna safari ndefu mno πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2184010
motivational speakers manyoa
 
sijui kama hii drone ni ya jeshi la kenya.. ila kama ni kweli.. wanawezaje kutuma drone afu wanashindwa kuwafata na kuwaua

ngoja nikwambie kitu bro hvo vita nyuma yake kuna wanasiasa wakubwa sana wanaofaidika na hvo vita hvo

trust me 🀣🀣🀣 na havitaisha mpaka dunia itasmama
 
si u know this vibe is only SA n' Kenya in this side of the sahara boo.! πŸ€™πŸ½βœŒπŸ½
708111284_4bc70c569d_b.jpg
6583565235_8e6c0e6bbf_b.jpg
Screenshot_20220411-202045_Photos.jpg
sisi ni wakali wa hizi kazi
 
Ninyi ni mataahira ukiweka hiki kibao maana yake unavyosema lane 2 (Nakuru 167km) iwe kweli hii lane inafika Nakuru maana yake kuwe na 4 lanes mpaka Nakuru

Mnasema lane 3 Eldoret 320km, lane 4 Mombasa 496km wakati kibarabara chenyewe mwisho km20 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa hizo multiple lanes with that huge distances what for? Wakunya akili zenu kama za mbu tu πŸ˜•

Screenshot_20220411-200019.png
 
View attachment 2184151
Umeuliza swali la kishamba sana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Lakini tunaelewa hamna this type of infrastructure, so huwezi elewa about entry and exit ramps plus kutumia interchanges.
 
Back
Top Bottom