Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na angalia YOM ya hivyo vipanya , Si wanaendesha magari ya kuanzia 2012? Hayo madude yanatakiwa yawe museum yanafanya nini hapo?
Kuna huyu dingilai hapa ni muhenga kuliko independence day yao 😅😅😅😅

Halafu eti YOM nyenyenyenye 😄

Screenshot_20220411-205501.png
 
Ninyi ni mataahira ukiweka hiki kibao maana yake unavyosema lane 2 (Nakuru 167km) iwe kweli hii lane inafika Nakuru maana yake kuwe na 4 lanes mpaka Nakuru

Mnasema lane 3 Eldoret 320km, lane 4 Mombasa 496km wakati kibarabara chenyewe mwisho km20 😅😅😅😅😅

Sasa hizo multiple lanes with that huge distances what for? Wakunya akili zenu kama za mbu tu 😕

View attachment 2184151
You need a brain transplant.🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Kenya tuna vision 2030. Nyie hamnaa mpango wa muda mrefu na bado mnataka kushindana na sisi. Msikilizeni Gwajima anavyokiri kwamba TZ haina mpango wa muda mrefu. Nchi nyingi duniani zinayo mipango ya muda mrefu lakini malazy kama kawaida wameangukia pua kwenye hili.
Sisi hayo mambo tulianza kitambo kidogo kabla yenu vision yetu inaishia 2025.
Screenshot_20220411-205421_Opera.jpg
Screenshot_20220411-205350_Opera.jpg
 
Hii road furniture huwa inawekwa kutoa information kwenye highway yenye multiple lanes diverting into different routes ila sababu hamna barabara ya aina hiyo kwenye hiki ki 2 lanes mmeamua kuweka maneno ya wana motivational speakers instead of appropriate messages, mna safari ndefu mno 😅😅😅

View attachment 2184010
Chakushangaza wenzao hayo maneno ya kuhamasisha/ kuonya madereva huwa yanawekwa kwenye mabango ya kidijitali. Hubadilika kutokana na kampeni ya muda huo, wao wameweka jumla (permanent). Ni washamba sana hawa watu.
 
Hii road furniture huwa inawekwa kutoa information kwenye highway yenye multiple lanes diverting into different routes ila sababu hamna barabara ya aina hiyo kwenye hiki ki 2 lanes mmeamua kuweka maneno ya wana motivational speakers instead of appropriate messages, mna safari ndefu mno

View attachment 2184010
Huwa nacheka, Yani wakunya wanafosi wafanane na Ulaya mpk inachekesha
 
Ila wakenya kweli ninyi ni wachoyo, kumbe mna flyover nzuri hivi lakini hamtaki kushare na sisi? Why? 😅😅😅😅

You kept it secret for so long 😒
View attachment 2184060

View attachment 2184061
Jengeni flyover kwenu kwanza ndio uje uongee kuhusu yetu. Nyie isipokuwa hio moja ya Dar hamna nyingine. Kisha unaicheka nchi ambayo ina flyover zaidi ya kumi na hata towns ndogo ndogo zina flyover? Sie tuna mpaka expressway ambayo ina viaduct zaidi ya 7 km. Nyie hamna hizi vitu.
 
Back
Top Bottom