Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku zote nitakuwa upande wa beberu 😁😁

Screenshot_20220411-153955.png


Screenshot_20220411-154008.png
 
Huyo ni kichaa, hukumbuki alivyokua akiongoza mapambano ya kupinga chanjo?,:miongoni mwa makosa aliyofanya Magufuli ni kuwachagulia wananchi watu wasiokubalika, miongoni mwa hao watu waliokataliwa na wananchi ni huyu chizi.
Kawe hapiti 2025 labda akagombee Usukumani!
 
Yeye sio Mpuuzi. Yeye anazungumzia mipango mirefu. Sio hio ya miaka mitano. Jaribu kuelewa anachozungumzia. Nyie hamna hio mipango mirefu.
Huyo ni mpuuzi Sana, hivi kweli Kuna nchi isiyo na mipango ya muda mfupi na mirefu?, Tanzania tunayo mipango ya muda mfupi ya miaka 5, muda wa Kati ni miaka 10, na muda mrefu ni miaka 25.

Sasa Gwajima Kama mbunge alipaswa kujua mipango yote ya nchi kabla ya kwenda bungeni, Sasa kweli anataka waziri wa nchi ajibu hoja za watu wazembe Kama hawa ambao hawataki kujielimisha wenyewe?, Kumbuka Kuna Mambo ambayo bado serikali haijayafanyia kazi, hayo ndiyo tunategemea wabunge kuyauliza, sio Mambo ambayo tayari serikali imeyafanyia kazi, na serikali mara nyingi imekua ikiyazungumza, lakini kwa uzembe na uvivu wa baadhi ya wabunge wanataka kupoteza muda kurudia kitu hicho hicho kila mwaka
 
Gwajima ni mpuuzi,kwani hajui mpango wa miaka 5 mitano wa Serikali? Hajui vision 2025?

Yeye ajikite kupotosha mazwazwa wake kule kanisani kwake.
ujue wewe ni tahira,kipi kibaya alichokisema gwajima ? mtu kaongea vitu vya msingi wewe unakuja kuongea utoto hapa,

yaani 5yrs unaiita long term plan,wewe si bure ni kichaa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom