chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,120
Nimekuambia kwenye kibao mmeandika lane 2 Nakuru 167km, lane 3 Eldoret 320km, lane 4 Mombasa 496kmUmeuliza swali la kishamba sana.😂😂😂🤣🤣 Lakini tunaelewa hamna this type of infrastructure, so huwezi elewa about entry and exit ramps plus kutumia interchanges.
Swali lanes za hiyo barabara zina urefu wa hizo distances to the respective destinations? Simple 🤔



