Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Sio kigoma pekee. 93% of Tanzanian roads are not paved.Kigoma ni mkoa ambao ulikuwa haujaunganishwa na mtandao wa barabara za lami sasa hivi unafunguka, hii itarahisisha usafirishaji wa mazao kutoka DRC kuja TZ kupitia Kigoma.




