Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

To mention just a few, there are also Rock city mall, aura mall, palm beach mall. Have a great night!
Kwanini unasumbuka na huyo msahaulifu? Mara ngapi mall zimewekwa humu na kaziona na ame comment, ss leo anakwambia ipo moja, na wala sio tu kwa Tz bali hata huko kwao kuna vitu vinapostiwa humu vya kwao na vilishawahi kupostiwa na akachangia lkn leo atakuambia "haaa kumbe Nairobi kuna apartments supuu hivi sikuwa najua"
 
Huu ndio usafi? This is Upanga[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 2173317View attachment 2173318View attachment 2173320
Aisee hii road imejengwa na kuna sidewalks mujarab, kuna siku nilishawahi kuweka progress humu nadhani hukuwa na bandle au ulikuwa mbali na wi-fi ya chuo but ni moja ya road kali kabisa ukanda huu na inakwenda mpk pale the state of art a.k.a the most modern hospital in EA The Muhimbili National hospital.
 
Muhimu kwetu ni masoko ambayo yanawapa ajira watanzania wa classes zote kufanya biashara na yanauza bidhaa zetu za ndani hasa zile za wajasiria Mali na wakulima wadogo.

Malls 85% ya bidhaa zinazouzwa ni imported, Kama ni bidhaa za ndani karibia zote zimetoka viwandani, mama mboga na vijana wa jua Kali hawana nafasi kwenye malls. Kenya hamuwathamini kabisa watu wenye kipato cha chini, huo ndio ukweli
Who told you Kenya hakuna those markets you are talking about? Kwanza tuko na a lot kuliko Tz.
 
Barabara hii imejengwa sasa hivi mpya with proper sidewallks, Remember BRT runs here to Muhimbili Hospital. Subiri picha kali nikipita hapo[emoji1787]
Mjenge mkitoa pesa wapi?[emoji23]
 
Hakuna kitu kinauma wadanganyika kuliko hii barabara sababu hakutawahi tokea siku barabara kama hii itajengwa mahala popote Tanzania in the next 100+ years [emoji23][emoji23][emoji382]
And do we really care?[emoji23][emoji23]
 
Na hiyo mall kwanza hata sio yao, it's owned by Botswana guy[emoji23][emoji23][emoji23]
Wananishangaza sana. Hio Mlimani city na Roc city ndio nasikia wakitaja taja sana. Yaani nchi nzima ambayo inapenda kubishana na Kenya ina malls chache ambavyo vinahesabika kwa vidole vya mkono mmoja huku Kenya tuna malls zaidi ya 30 na tumenyamaza tu. Kenya kuna malls hata kwenye towns ndogo ndogo tu Halafu bado wanataka ligi na Kenya.
 
Why do these people always like cheating Tanzanians?[emoji23][emoji23][emoji23].

Najua hujui what SGR is, so I'll forgive you for that[emoji23]
Hahahaha, I am not even sure if the distance between your substandard old model railway is long enough to be called SGR. Wakenya tafadhali Sana achaneni na kutaja hiyo reli yenu, ni aibu kubwa Sana kuzungumzia hiyo reli kujengwa katika Karne hii
 
Wananishangaza sana. Hio Mlimani city na Roc city ndio nasikia wakitaja taja sana. Yaani nchi nzima ambayo inapenda kubishana na Kenya ina malls chache ambavyo vinahesabika kwa vidole vya mkono mmoja huku Kenya tuna malls zaidi ya 30 na tumenyamaza tu. Kenya kuna malls hata kwenye towns ndogo ndogo tu Halafu bado wanataka ligi na Kenya.
Hizo malls mbili moja is owned by the government and the other by the Botswana guy. Yani mtanzania hana hata pesa ya kujenga Mall [emoji23]
 
Hahahaha, I am not even sure if the distance between your substandard old model railway is long enough to be called SGR. Wakenya tafadhali Sana achaneni na kutaja hiyo reli yenu, ni aibu kubwa Sana kuzungumzia hiyo reli kujengwa katika Karne hii
What do you know about SGR? Remember Tz haina functioning SGR[emoji23]
 
Back
Top Bottom