Kwanini mlikataa kuwapokea wakimbizi kipindi cha ukombozi?, Sababu ni kwamba wazungu wallikua wakiungwa mkono wakoloni kusini mwa Afrika, nchi yoyote iliyoonekana kuunga mkono ukombozi, " automatically" ilikua ni adui wa wazungu, wakenya mlichagua kuwasaliti waafrika na kuwakumbatia wazungu.
Baada ya Uhuru wa Afrika, hawa wakimbizi wengine mnaowapokea Sasa wapo chini ya UN, hakuna tena hatari ya kuwakasirisha wazungu kwa kuwasaidia hao wakimbizi, pia Kuna msaada toka UN kwa nchi zote zinazowahifadhi wakimbizi, ndio sababu hivi Sasa mnawapokea, ila USA walisema muwafukuze lazima mtawafukuza.
Kuhusu idadi ya wakimbizi Kati ya Tanzania na Kenya, bado Tanzania imepokea idadi kubwa ya wakimbizi kuliko Kenya, kumbuka mamilioni ya wanyarwanda waliokimbia" Genocide" 1994, warundi, wakongo, Waganda enzi za Amin, wasomali na wakenya wakati wa PEV 2007