NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Ngoja niwasaidie mkuu hiyo ni artificial shortage in kiberan thinking [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika picha tunazoona kuanzia mazingira, barabara na hivyo vyombo vyao vya usafiri, Je hizi ni Taswira za Richest country au Nchi iliyoondelea kuliko zote ukanda huu?dalili ya mvua si mawingu? [emoji1787][emoji1787]