Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More market ambazo sio modern? Au kwenu quantity ndio kila kitu sio quality
You don't have any modern stuff in Tz. What you have are tiny buildings in the name of markets 😂😂😂🤣😂
 
na muulizw akuletee ushahidi kua bwawa la nyerere tanzania imekopa 😂😂😂
Bado unataka ushahidi🤣🤣😂👇👇

Screenshot_20220403-133225.png
 
Ofcz angalia nairobi juakali ni wengi kuliko wenye hali nzuri
Heri kuwa mtu wa jua Kali kuliko kukosa Kazi kabisa kama hao wa Dar. Na ndio maana Tz leads in the number of poor people in East Africa 😂😂🤣😂
 
Tz hatuna viongozi wenye dira thabiti,ilani zao zimezingatia mambo ya kawaida sana ndio maana tuko hapa tulipo. Hapa namaanisha sio JPM wala SSH sioni alienikosha kwa kiwango hicho...wote walewale tu...nahua sipendi sana kuzungumzia hawa watu sijui imekuaje
Hahahahah, sijui nimesoma vyema au ni mang'amung'amu, kwani umeweka hao watu kwa sentesi moja? Uyo bibi kitu amefanikiw nikutuongezea deni la taifa na nadhani mpka 2025 tutakuw pazurii katika nafasi kama sio sawa na wakunya, na km huyo bibi angekuw rais bada ya JK sina uhakik kama tungekuwa hata na chakufungulia huu uzi zidi ya nyangau
 
Jaribu bahati yenu wakunya wote nileteni tu daraja la cable stayed bridge kunya nzima sio ndani ya ako kaushuzi pekee
Mombasa has more bridges than Dar
Mombasa has more flyovers than Dar
Mombasa has more interchanges than Dar
Mombasa port is twice bigger than Dar port.
Mombasa real estate is better than that of Dar.
Mombasa has a ship building company, Dar has zero.
Mombasa has better and wider roads than Dar.
Mombasa CBD roads had no potholes like Dar.
Mombasa has bigger modern markets than Dar.
Mombasa had cruise ship terminal, Dar has none.
Kuna vichaaa alafu mbelenkidgo ya level ya vichaa ndio unafwata....
 
Hahahahah, sijui nimesoma vyema au ni mang'amung'amu, kwani umeweka hao watu kwa sentesi moja? Uyo bibi kitu amefanikiw nikutuongezea deni la taifa na nadhani mpka 2025 tutakuw pazurii katika nafasi kama sio sawa na wakunya, na km huyo bibi angekuw rais bada ya JK sina uhakik kama tungekuwa hata na chakufungulia huu uzi zidi ya nyangau
Deni litaendelea kukua,kikubwa angalia maisha yako binafsi kwa sasa unafaidika vipi
 
Back
Top Bottom