Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo sio tu deni linapanda bali linapanda kisha kuna nini kimeongezeka? Angalia hali za uchumi? Vipato vimeganda garama za ma maisha ziko rooftop, bora mwenda zake aligandisha vipat lakin pia alicontrol inflation
Kwahyo hela zinazokopwa huoni kinachofanywa ama vp sijakupata
 
So kama aliharibu uhusiano wa Tz na Kenya cc inatuhusu nn, what is Kenya, Kenya ndiyo nn? Hata tukiwa na uhusiano mbaya na Kenya who is going to suffer btn Kenya and Tz? Mtasema biashara itaharibika so kama ikiharibika cc itatupa tabu gn? Kuna mtu atakufa njaa? Dawa hazitopatikana mahospitalini? Miradi haitofanyika? Jibu ni kwamba Kenya ndiyo ita suffer kwa kukosa bidhaa muhimu na kusababisha bei kupanda maradufu na watu kula mawe.

So to me Tz has nothing to do with shit hole Kunyaland, Magu was right to jeopardize relationship btn Tz and shit hole Kunyaland.
Punguza hasira. Hivi unadhani mnapotuuzia chakula wakulima wenu hawafaidiki? Unajua kwamba mama tangu aingie balance of trade imeanza kuwafavour nyinyi kiasi cha kwamba nyie mnaexport bidhaa nyingi kwetu kushinda sisi tunavyoexport kwenu. Hivi unadhani ni watu gani wanafaidika kama sio Watanzania wanaomiliki viwanda na wanaouza bidhaa zao na Wakulima wanaouza mauzo yao Kenya? Haya mambo hayataki hasira, yanataka kuangalia data wakati wa Magufuli na sasa utaona export ya Tanzania sio Kenya tu bali hata Uganda imepanda sana. Tuangalie data tuwache siasa. Wakulima na wafanyibiashara wenu wanafaidika kwa sababu ya mazingira bora ya biashara aliyoleta mama. Hakuna tena kuchoma vifaranga, na ng'ombe au kufungiana border.
 
Vihiga County Referral Hospital

vihiga-county-referal-hospital.jpg
1648986103483.jpg
1648986114105.jpg
1648986119290.jpg
1648986126099.jpg
1648986130617.jpg
1648986233286.jpg
1648986213789.jpg
1648986166440.jpg
 
ichoboy01 baada ya wajinga wa Russia kushindwa vita na kulazimika kuondoka Kiev, waliamua kuuwa raia wengi kwanza kabla ya kuondoka. Hio ni njia yao ya kutoa machungu na hasira kwa kushindwa kuiteka Kiev na kulazimika kuondoka na kurudi Russia.

Punguza hasira. Hivi unadhani mnapotuuzia chakula wakulima wenu hawafaidiki? Unajua kwamba mama tangu aingie balance of trade imeanza kuwafavour nyinyi kiasi cha kwamba nyie mnaexport bidhaa nyingi kwetu kushinda sisi tunavyoexport kwenu. Hivi unadhani ni watu gani wanafaidika kama sio Watanzania wanaomiliki viwanda na wanaouza bidhaa zao na Wakulima wanaouza mauzo yao Kenya? Haya mambo hayataki hasira, yanataka kuangalia data wakati wa Magufuli na sasa utaona export ya Tanzania sio Kenya tu bali hata Uganda imepanda sana. Tuangalie data tuwache siasa. Wakulima na wafanyibiashara wenu wanafaidika kwa sababu ya mazingira bora ya biashara aliyoleta mama. Hakuna tena kuchoma vifaranga, na ng'ombe au kufungiana border.
Mtz anaesema haoni umuhimu wa kenya kwenye biashara ni mpuuzi tu. Tukisema viongozi wetu hawana dira tunaonekana kama sio watz,unaharibu mahusiano wakati watu wanabidhaa na kuna soko lenye masilahi sehemu fulani kwahyo hao watu ukiharibu biashara zao ndio watakupenda kwakua wewe ni mbabe sana Au ni propaganda zilizopitwa na wakati kabisa
 
Kitu kimoja unashindwa kubali ni kwamba, Tanzania tunafanya biashara zaidi na SADC kuliko na Kenya, wakati Kenya kwenu Tanzania ndiyo "Biggest business partner in Africa", kwa Tanzania Kenya sio hata namba 2 kwa umuhimu hapa Afrika.

Biashara Kati ya Kenya na Tanzania, Kenya ndiyo yenye kufaidika zaidi kwasababu inaokoa vifo vingi ambavyo vingetokea endapo chakula kingekosekana Kenya, viwanda vingi vya Kenya vingefungwa kutokana na upungufu wa "raw materials" ambazo nyingi hutokea Tanzania.

Biashara Kati ya Tanzania na Uganda ilihimarika kutokana na ukorofi wenu wa kugombana na majirani zenu, mlipokataza maziwa ya loto, mayai na sukari toka Uganda, Uganda ikaamua kuachana na ninyi na kuamua kufanya biashara na Tanzania.
 
maziwa ya Lato babu!
 
Unajua kuna watu hapa wapo kisiasa sana mpaka wanashindwa kutumia logic katika kufikiria. Mtu afadhali aseme kwamba Kenya haina faida yoyote kwa Tanzania hata kama anajua hilo sio ukweli. Sasa ujuwe baada ya mwaka mmoja tu wa mama kushika usukani, trade kati ya Kenya na Tanzania imeshatinga 1 billion dollars. Na ukumbuke zaidi ya 60% ya hii pesa (takriban $600 million) inaingia katika mifuko ya Watanzania) halafu mtu bado anasema kwamba trade kati ya Kenya na TZ haina manufaa yoyote kwa Mtanzania yeyote. Kinachoniudhi zaidi ni kwamba trade kati ya Kenya na Tanzania inastahili kuwa 10 billion dollars kila mwaka, sio 1 billion dollars. Yaani uchumi wa $109 billion ya Kenya na $80 billion ya Tanzania inashindwaje kutrade $10 billion kila mwaka? Yaani hizi nchi mbili kama hatungefungiana border mwaka wa 1977, kama EAC ya kwanza haingevunjika na kama tungeweka siasa kando na tufanye biashara basi trade kati ya hizi nchi mbili ingezidi $10 billion kila mwaka kwa maana uchumi mkubwa tunazo. Kinachoturudisha nyuma ni siasa nyingi.
 
See how you are changing goalposts now! So the narrative is no longer about GDP but reserves now. Who told you that Kenya doesn't have petroleum reserves? See how desperate you are Bongolala. You bit more than you could chew on this and all you are doing now is holding onto anything that can save your face.
Nimeshakuelewesha relations kati ya GDP na fuel availability ila sasa naona hutaki kuelewa au unakuwa mwanafunzi mtukutu. If you can successfully define GDP then you will know fuels feature in what category as per GDP definition.
 
Fuel shortage is a problem caused by fuel firms/distributors hoarding the product, not government's inability to mitigate the problem
I dont think if you have energy regulation authority in Kenya ndio maana firms zinawachezea hovyo.
 
Kitu kimoja unashindwa kubali ni kwamba, Tanzania tunafanya biashara zaidi na SADC kuliko na Kenya, wakati Kenya kwenu Tanzania ndiyo "Biggest business partner in Africa", kwa Tanzania Kenya sio hata namba 2 kwa umuhimu hapa Afrika.

Biashara Kati ya Kenya na Tanzania, Kenya ndiyo yenye kufaidika zaidi kwasababu inaokoa vifo vingi ambavyo vingetokea endapo chakula kingekosekana Kenya, viwanda vingi vya Kenya vingefungwa kutokana na upungufu wa "raw materials" ambazo nyingi hutokea Tanzania.

Biashara Kati ya Tanzania na Uganda ilihimarika kutokana na ukorofi wenu wa kugombana na majirani zenu, mlipokataza maziwa ya loto, mayai na sukari toka Uganda, Uganda ikaamua kuachana na ninyi na kuamua kufanya biashara na Tanzania.
Kwa hivyo hio $600 million pesa mnayopata kwa kuexport bidhaa Kenya ni takataka tu sio? Nyie hamuhitaji hio pesa kwa sababu nyie ni matajiri sana sio? Halafu wacha kusema kwamba Kenya haina umuhimu wowote kwa Tanzania. Bado trade statistics ya TZ ya 2021 haijatoka. Ikitoka nakuhakikishia kwamba Kenya itapanda kwenye jedwali hilo. Tangu Magu aingie Kenya ilianza kuteremka kwenye jedwali hilo kwa chuki na madharau aliyokuwa anatufanyia. Anyway tungoje tuone data zikitoka, Kenya lazima itapanda sana kwenye jedwali hilo, baada tu ya mwaka mmoja wa mama kushika usukani.
 
I repeat, there is no any country among those you have just mentioned that it's citizens have suffered in any way because of fuel shortages, all that links you have posted indicate how those countries' governments serious they are, they raise alarm very early so that they can make sure that there is no individual or sector will suffer the way Kenyans do.
I told them yesterday hiyo shortage yao ni inefficiency ya government yao mkunya mmoja akauliza if I really know what inefficiency is.
 
Hili jina la hii camp usije ukalitamka huku tz hadharani watu watashika mdomo kwa mshangao. Kuna balozi alirudishwa nchini kwasababu ya jina lake lilitamkwa vibaya (tusi).dyfre.
so ina maana kua, hakuna mtanzania wowote ataweza kubali kusomea hizi vyuo, vya japan na indonesians, ata akipata full scholarship+sustainance allowance, sabab ya jina.?

heb nipee hio scholarship.! yani, i ll go like yesterday 🏃🏃

Kumamoto-University-Scholarship-in-Japan-768x403.jpg
Screenshot_20220403-152845_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom