Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipingo Ridge


😂😂😂😂 Vipingo ridge inafika level hizi hata.? 👇
maxresdefault(90).jpg
maxresdefault(89).jpg
avictown_dar_1622026394686250.jpg
 
Unatuonyesha plans na maigizo wakati mimi nimekuonyesha the actual thing on ground ni row mbili za nyumba?
tanzanians in general can't put up estates without government intervention.....while in Kenya thousands of saccos companies and individuals are pulling off such projects effortlessly
 
Ndio hiyo Fumba town yenye watu wanataka kulinganisha na Karen. Yani vijumba vinavyohesabika ulinganishe na Karen. [emoji1787][emoji1787] Yani hii hata haijanusa Tilisi uilinganishe na Karen. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Two rows of houses ulinganishe na Karen - the largest Estate in East Africa. [emoji1787][emoji1787]

View attachment 2127804
the madness in this thread from these tanzanians is mind boggling
 
Mnanua msaada kutoka kwenye majangwa ya waarabu halafu mnajitetea kwenu ni semi arid , yaani majangwa yanaweza zalisha chakula lakini nyinyi matajiri namba 6 Afrika mnashindwa zalisha . Sasa utajiri gani huo au ndio utajiri wa mchongo?
Naona unaumia sana kujua kwamba Kenya ni nchi ya sita kwa utajiri hapa Afrika.
 
Back
Top Bottom