Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,781
Inakaa huyu jamaa ataishia kuwa mfungwa badala ya kuwa Rais
Same question to Chang'ombe , maana inaonesha inakua kama ya tazara kwa macho labda wataalamu wanajua zaidi , kimsingi BRT inabidi waipitishe juu kuondoa unnecessary traffic jamView attachment 2127881
Hivi hapo Uhasibu BRT itapita juu au chini?
Acha ujuaji mwingi bablai.. Estates kali zote tulizoweka humu ni fully private owned..tanzanians in general can't put up estates without government intervention.....while in Kenya thousands of saccos companies and individuals are pulling off such projects effortlessly
Siwezi umia yaani tajiri anayeomba msaada wa chakula . Sasa uongo unafaida au unadanganya nani? kwa faida ipi?Naona unaumia sana kujua kwamba Kenya ni nchi ya sita kwa utajiri hapa Afrika.
Chinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwaomchina ana roho mbaya sana
dadeki afu haijaisha, imesusiwa suswa
View attachment 2127905
View attachment 2127906
View attachment 2127907
😂😂😂 Railway imesuswa SUSWA 😂😂, they call it a railway to no where 😂😂mchina ana roho mbaya sana
dadeki afu haijaisha, imesusiwa suswa
View attachment 2127905
View attachment 2127906
View attachment 2127907
Hayo sio maoni yangu. Ni maoni ya Imf na World Bank kwamba Kenya ni nchi ya sita kwa ukubwa wa Gdp hapa Afrika. Kama hupendi basi kalilie chooni.Siwezi umia yaani tajiri anayeomba msaada wa chakula . Sasa uongo unafaida au unadanganya nani? kwa faida ipi?
Sasa msiwafanyie hivyo jameni, mana wakigeuka wanakutana na habari hizi mara ghafla zinakuja nyingine ambazo zinaumiza kuliko za kwanzaView attachment 2127832
Msigwa analeta furaha huku. Majirani mtafute pakujificha









After the completion of expressway,hii view itakuwa Kali sana 🔥Waiyaki way View attachment 2127605
dah,ni mji ambao unafumuka dayle na hiyo masaki ni mji mkongwe baada ya miaka 60 ijayo hapo tegemea sehemu hiyo itabadilika na haitokuwa makazi ya watu tena,watu waluokuwa wanakaa masaki wengi walishaondoka hapo na wamejenga pembezoni mwa mjiReality gani? Kwamba Dagoretti sasa imekuwa Karen ama? Njoo Nairobi utembee Karen. Ukiona apartment mahali piga picha utume huku tuone. Unadhani Karen ni kama Masaki yenu mliyojaza apartments hadi office blocks?
Mmh chuma za ujerumani zinafanana hivi 👇Sasa msiwafanyie hivyo jameni, mana wakigeuka wanakutana na habari hizi mara ghafla zinakuja nyingine ambazo zinaumiza kuliko za kwanzaView attachment 2127913View attachment 2127914
Hii rangi inapendeza kuliko iyo nyeupe hapo juu na mistari
Haaaa siwezi lilia chooni ukweli upo wazi we mwenyewe unaonaHayo sio maoni yangu. Ni maoni ya Imf na World Bank kwamba Kenya ni nchi ya sita kwa ukubwa wa Gdp hapa Afrika. Kama hupendi basi kalilie chooni.
Za ujerumani si ni double decker mkuuMmh chuma za ujerumani zinafanana hivi 👇View attachment 2127918View attachment 2127919my take..
Ile order yetu ya treni kutoka ujerumani sio treni hizo hapo juu kwenye picha kweli.? Na mbona inafanana na hii 👇inayosadikika ni yetu.? View attachment 2127921
localmchina ana roho mbaya sana
dadeki afu haijaisha, imesusiwa suswa
View attachment 2127905
View attachment 2127906
View attachment 2127907