joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Tony254, hapa tunazungumzia Kenya, hao ni watumishi wa Kenya, kuhusu muundo wa serikali yenu sisi hautuhusu, kwahiyo wafanyakazi wa county hawana haki ya kupata "salaries?. Kenya is a failed state from all directions, from Central to County levels.Hawa sio wafanyikazi wa serikali kuu. Hawa ni wafanyikazi wa county