Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Ww boya,hiyo ni ndege ya Rais na sio ATCL.ATCL (Any Time Cancellation Limited) dyingView attachment 2126967
Ww boya,hiyo ni ndege ya Rais na sio ATCL.ATCL (Any Time Cancellation Limited) dyingView attachment 2126967
Maumivu ya ukweli,hizo pesa tuliwaomba au? Mbona msibakienazo Nairoberry?Hela zetu ndio zinawapeleka chooni
Professions zingine co za kuzikurupukia budaLazima nimpe kitu aje aelewe mzee, hapa tupo mafunzoni pia licha ya wengine ubongo wao kuvurugwaView attachment 2127010





Eti mtu ako tu serious anatrash Karen! Karen of all the places!unexposed tanzanians who never travel outside tz think they are something while in reality they still have a long way to go
Shida ya nchi yenu ni uchafu na slums everywhere you go.Eti mtu ako tu serious anatrash Karen! Karen of all the places!
Wewe tofauti yako na kondoo ni harufu.
Sasa juu wewe ni kondoo unadhani kila mtu ni kondoo humu!
Mkiambiwa mfanye tafiti kabla ya kuokota okota picha kondoo hamsikii.
Tena ziliharibiwa kwa kukosa phytosanitary documents na zilikuwa tani 3.5 kondoo wewe.
Huyo minister tayari ashafungua maghala ya kuuza chakula Sudan kusini na Congo, sasa hivi yuko kwenye hatua za kufungua ghala la kuuza chakula Mombasa kondoo wewe.
Kenya nzima hakuna minister anayemfikia huyo minister kondoo wewe.
Level zenu ni hizi kondoo wa kienyeji wewe.
Umebaki na maneno ya kwenye khangaProfessions zingine co za kuzikurupukia buda![]()


pole sana, njoo na facts upinge nikuheshimuKaren mazee, place ambayo land value yake ni sawa na networth ya yule msanii wao mkubwaEti mtu ako tu serious anatrash Karen! Karen of all the places!
Chakula tuliwaomba au ndio tumenunua, tz inaitegemea kenya kibiashara tena pakubwa sanaMaumivu ya ukweli,hizo pesa tuliwaomba au? Mbona msibakienazo Nairoberry?
Mkuu hii ni for trial purpose.Mbona kama mtumba? Au ni Cha treni ya mizigo?
Karen hata ukiuza figo bado utakua unajifurukuta kuishiShida ya nchi yenu ni uchafu na slums everywhere you go.
Watanzania hawana shukurani, ndege za ATCL kelele Emirates kakodi


Mbona kama mtumba? Au ni Cha treni ya mizigo?
Kwa hapa tumeshajua ni vichwa vya Yapi Merkezi sina tatizo! I close my case!
![]()
Sawa bongolala, Karen ni slum.Sasa unagombana na Google?
Karen ni Slum pia 🤣🤣🤣
Kama ikulu yenu pia ni Slum
View attachment 2126874
Uchafu na slums everywhere kama hizi sio?Shida ya nchi yenu ni uchafu na slums everywhere you go.
Mkuu hata sisi wakulima wa parachichi tunajua hiyo ilikua mwaka juzi na toka hapo parachichi za Tz hazikuingia SA hadi walipokaa mezani mwaka Jana 2021 na SA kukubali tena kuanza biashara .Hazikua za TZ na za Kenya pia.Kioichosabisha ni watu kuchuma parachichi zilizokua hazijakomaa.Huyu minister Ni takataka tu,
Wapi proof Ni picha ya 2020!
Anajua nchi imejaa makondoo akisema anything watakubali kama watoto!