toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
We ningekua karibu na wewe wala nsingekua na haja ya kuomba papuchi, ningeanza tu kukushikashika na kuzamisha njunjunju. Baada ya hapo utaaanza kusoma na kuelewa.Hela inayo kaa bure ina maana ilikua haina kazi, we sema wapiga dili walicheza dili wakachors ramani na ikaingiliana na kuamua kujitengezea mrija wa kunyofoa kw miaka kadhaa..
Nikikuuliza hivi una tipoti yyte ile kuhusu hzo returns, serekali yenu imeshindwa na nini kulipia wananchi wapite bure..si nyie mnajali wanyonge bana hivi imekuaje daraja la kwenda kw wanyonge liwe mnalipia toll..
Poleni sana
Swala liko hivi, kutumia pesa za watu haimanishi hawapati faida, na faida ndio chanzo cha watu binafsi kuwekeza nchini kwao. Sasa wewe unataka kisa mtu kapata idea ya kupata faida serikali imnyang'anye kisa watu wasilipe? Sisi tunachosema ni bora hio fee inarudi kwa waTanzania waliofikiria. Kuna wengine wana mahospitali za bei kubwa, mashule ya bei kubwa kuliko za serikali nao basi serikali izinunue ili watu waate kwa bei ndogo.
Wawekezaji wa services mbalimbali sio mtu mojamoja kuna hadi ushirika wa maknisa mfano Tumaini universities & schools under Lutheran Church





