Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NSSF huku wanajenga majumba mzee wala sio barabara za public kw ajili ya toll

Kwani unadhani huku nssf hawana majumba?
Halfu Huku mifuko ya hifadhi za jamii ni mingi sio NSSF tu,
Kuna PPF, PSPF, LAPF nk, mind u all of them are public funds na
Hawa ndio wamiliki 90% ya majengo yote marefu na ya kisasa Tz

Hahaha!!mzee mbona povu, huku mpaka makanisa wana majumba, vikundi vya wa mama pia wanamiliki..
Unafikiria huku kila kitu ni serekali au machothara
Huyu komora sijui kama anajielewa 😂😂 Angalia claim zake za mwanzo.. bro game over akamjibu tu vizur .. haya Angalia upuuzi alikuja kuongea tena 😂😂😂, wewe komora humu JF hakuna mtu size ya akili yako please kindly endelea kubishana na watu wa vijiweni kwenu uko failures wenzako
 
Huyu komora sijui kama anajielewa Angalia claim zake za mwanzo.. bro game over akamjibu tu vizur .. haya Angalia upuuzi alikuja kuongea tena , wewe komora humu JF hakuna mtu size ya akili yako please kindly endelea kubishana na watu wa vijiweni kwenu uko failures wenzako
Guess the irony
 
Bongolala, wacha kujisumbua na masuala ya Kenya na kushangilia keyboard warriors wa Twitter. Kenya 1kg ya sukari ni kati ya Ksh110 - Ksh120 depending with the brand. Hiyo ya ksh250 a kg labda ni kwenu Tanganyika View attachment 2125840View attachment 2125843

Sasa linganisha na hizi prices zenu then tell me ni wapi bei ipo juuView attachment 2125848

Tanganyika kilo moja ya sukari ni shilingi 150 za Kenya wakati mimi nanunua the same quantity at Ksh110 na bado unatoa povu. Si unaona ulivyo mjinga?
🤣🤣🤣🤣🤣 Hii bei kakupa nani?

Kunyaland haitakaa ipate hii neema

images (8).jpeg
 
hehehe.... tebu ona huyu.! as in, mm sasa of all the pple nihame kenya nikue mdanganyika. yani ni toke from an Emerging Market niende LDC. yani kwa uhandisi nilipwe hela za kidanganyika na sio dollar za kikenya.! yani niwache kuchana gomba na jaba, kiongozi wangu akue nyabo na sio ssebo .. yani mji wangu mkuu uwe dar na sio nairobi.!? kenya sihami, less ntakua punguani wa akili
Kawaambie hivyo Wakunya wenzio sio mimi 😅😅😅😅😅

Screenshot_20220206-170611.png
 
Nadhani unafananisha na ordinary CT SCAN wewe hiyo ni PET CT only SA na TZ ndio wanayo kwa Sub Saharan Africa the rest are in North Africa. Tena only 4 countries in Africa ndio wana hizo machines.
Toka nje ya uswazi hapo Gongo la Mboto ujue yanayoendelea duniani. Kenyans have been enjoying PET CT Scan services since 2017

 
Kama Kenya mkiwa na hizo mashine nahisi itakuwa ni 25 century tena mtapewa mitumba ambayo China au Germany watakuwa wametumia kama SGR zenu
Wivu wa karne huu sasa
Yani unaugua maradhi ya wivu karne hii si utajitia presha burw jamani
 
Kumbe KG 1 ya sukari Kenya ni 5000 sasa naiona Zimbabwe mpya
Mamaee, haya ndio maradhi ya kukesha twitter
Sukari inacheza 110 hapo wewe unakuja kuleta tweet zako za ajabu ajabu kw ajili ya political reasons..

Huwezi waelewa wakenya milele hko twitter mwisho utakua unajitesa mwnywe
 
Bongolala, wacha kujisumbua na masuala ya Kenya na kushangilia keyboard warriors wa Twitter. Kenya 1kg ya sukari ni kati ya Ksh110 - Ksh120 depending with the brand. Hiyo ya ksh250 a kg labda ni kwenu Tanganyika View attachment 2125840View attachment 2125843

Sasa linganisha na hizi prices zenu then tell me ni wapi bei ipo juuView attachment 2125848

Tanganyika kilo moja ya sukari ni shilingi 150 za Kenya wakati mimi nanunua the same quantity at Ksh110 na bado unatoa povu. Si unaona ulivyo mjinga?
Hawa jamaa wanateseka sana, kwn unafikiria niliposema tz wananchi kiuchumi wapo hoi sana ubafikiria natania
 
Back
Top Bottom