Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
Swali ni mnalipa toll fee hama hamlipi? Si ndio nyinyi juzi mmesema hapa eti kulipa toll fee ni ushamba?Only Mkunya at her true colors trying to compare a toll that is meant to repay back the money lent by NSSF Tanzania to a toll by chinese on Nairobi Nairobi expressway!
Mbn unachanganya habari? Kuvuka Tanzanite ni bure dada.Barabara ya NSSF
Mtz lazima alipe kodi hapo km sio ujinga ni nini...
Huvuki hapo bila ya kulipia ksh150View attachment 2123882
Swali ni mnalipa toll fee hama hamlipi? Si ndio nyinyi juzi mmesema hapa eti kulipa toll fee ni ushamba?Only Mkunya at her true colors trying to compare a toll that is meant to repay back the money lent by NSSF Tanzania to a toll by chinese on àlNairobi Nairobi expressway!
Wewe cjui huwa unatumia kilevi gani wewe kama co gundi, nyie ndio wanya hovyo kwenye mifuko alafu mnairusha juu pale Nairobi.NISHAELEWA MBONA WA TZ WANA AKILI NDOGO...KUMBE VUMBI IMEWAJAA KWA UBONGO....WAA.... SASA HIVI NDIO KUSEMA TUKO SAFARINI TWAJA.....FUJO KWELI
.eti tumenunua midege cash kumbe ni bakuli imetembezwa chini ya maji😂😂😂wakati nyie Kunyaland mnakufa na njaa mmebaki mkiomba chakula!
Huna uwezo wa kuja bongo slum dweller wewe, baki hapo hapo kibera na magundi yako puani.Nani alikuambia nataka kuja bongo? Unadhani wewe ukija Kenya na hicho chako cha 'nirimuambia ahalakishe' utasurvive?
Kwanza hawa wazenji kumamae zao wabaguzi kinoma utakuta nyumba za wabara wanapanga bila masharti yoyote, lkn wakipata kujenga nyumba zao wanataka waishi peke yao, hawa wasenge cku yao ipo jikoni inachemka.Sasaivi wazungu wanavyoinunua kimyakimya tutaipoteza tu au tutaendelea kuwapa service za kunyonywa
Sure, ila swala la mkopo $500 M then $400 inapelekwa bara watu 59M na ushee = TZS 15,000/= for every citizen huku zenji ni $100 kwa watu 1.7M = TZS 135,000/= for every citizen. Hii sio sawa kabisa. Na italipwa kwa resources za baraKweli mzee muuangano unafaa uangaliwe upya singependa uvunjike kwa sababu ya muingiliano wa watu kati ya bara ya visiwani ila Kuna vipengelee vinafaa vibadlishwe ili zenji iwe kama mkoa tuu wote twende sawa Ndio ata kama wakipeleka miradi kibao uko kunaondoa maswali kama haya mm sina tatizo fedha zikipelekwa uko kwa wingi kwa sababu ni watanzania wenzangu
Tunazungumzia South Africa na SADC, huko Ulaya wanajipendekeza wenyewe, SADC tosha.Bongolala bana...mnawafukuza alafu mnarudi tena huko huko kuomba msaada kwasababu ya ufukara?
View attachment 2123838
Nakubali chato ilitunyonya haswa sisi uchagani ndio tulisahaulika kabisa ila ni kwa muda na sio kama sasa zenji wanakula parefu sana but zenji ni kirusi kinatutafuna tangu 1964. Mimi silalamikii mtu kuvutia upande aliotokea sema isiwe sanaaa. Maana akijifanya mgumu kule ni kwao na ndio watakaosaidia vizazi vyake, kuwafervor ni muhimu ila zenji haihitaji fervor maana miaka nenda rudi wanakuafervoredwacha ujinga wa ubaguzi wewe! Kwahiyo Chato haikutunyonya
Watu tunatoa pesa kujenga vitu classic wao wanachimba chimba tu cjui wanachimba nn.
Lete data Tanzania tunazalisha 7M tonnes za mahindi kwa mwaka, na tunatumia "almost 6M tonnes, ninyi mnazalisha 3M tonnes na mnatumia 4M tonnes.Hehehee!!ukweli mchungu sana
Kenya tuna consume vitu vingi sana kuwaliko




Hawalipi wale kazi yao ni kutafuna tuMkuu jibanze kwenye ukuta ulio gizani na ukae kimya binafsi hili jukwaa kwangu limepunguza mvuto maana mama amekuwa mama hii misaada na mikopo ikitushinda kulipa utasikia bandari ya dar umechukuliwa na zanzibar haitoguswa na kwa nchi zetu hizi ambazo hazina mfumo imara wa sheria sijui kama zanzibar inalipa kama inavyopokea
Ukiona unashabikia au kupinga uongozi wa nchi tofauti na nchi yako, ujue hiyo nchi lazima inakugusa kiuchumi, kiusalama na kijamii, kifupi hiyo nchi ni superpower kwako.NAMPENDA SANA NA KUMHESHIMU RAIS SULUHU...MAWAZO YAKE YAMEKOMAA SANA NA STYLE YAKE YAUONGOZI NI FIRST CLASS YAANI KAMA WAKENYA VILE....ABARIKIWE SANA HUYU MAMA...
Kwani wanaofanya kazi NSSF ni kina nani? kama ni hivyo watu wangenunua magari then watu wapande bure. Sasa shirika kama NSSF likitoa pesa zake na kutoa bure wewe unaona ni akili. Hii pesa inazunguka humuhumu. Bila shaka wewe mlupo utakua na matako makubwa sio kwa reasoning ya namna hiiBarabara ya NSSF
Mtz lazima alipe kodi hapo km sio ujinga ni nini...
Huvuki hapo bila ya kulipia ksh150View attachment 2123882
Toll fee ya Tanzania ni sawa na kulipa VAT, pesa yote inaingia serikalini, sio mifukoni mwa wachinaSwali ni mnalipa toll fee hama hamlipi? Si ndio nyinyi juzi mmesema hapa eti kulipa toll fee ni ushamba?



Kwa punch hizi kwnn wasichukieLete data Tanzania tunazalisha 7M tonnes za mahindi kwa mwaka, na tunatumia "almost 6M tonnes, ninyi mnazalisha 3M tonnes na mnatumia 4M tonnes.
Kumbuka Tanzania we consume what we produce, and produce what we consume, but stupid country do produce what they don't consume (Flowers), and consume what they don't produce(food), as the result of their stupidity, they beg Chinese for food donations![]()










Waulize Rwanda watakuambia kuhusu chakula ya Tanzaniasasa chakula gani mko nayo apart from Mahindi na mihogo? Alafu si jiwe alisema nyinyi ni Donna cantreee vipi tena mnatembeza bakuli kila mahali kutafuta msaada![]()
www.chronicles.rw



