Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hopeless kabisa,una ushahidi? Yaani walioomba wasilalamike ila wewe kenge wa mwendakuzimu ndio ujifanye una uchungu wa kuzidi .

Hadi 2025 ukikosa pressure nitag
Unapenda sn vijembe, shida yako ni uchonganishi, yn wewe huwa unapenda kuona watu wakikosana humu. Watu walishasahau huu ushetani wako lkn huchoki kugombanisha watu kwa huu upumbavu wako wa kutukana viongozi, kum.a.ma.ko wewe
 
Tram zinakuja kwenye BRT, majirani mjiandae kuja kushangaa
IMG_9003.jpg
 
hebu heshimu awamu ya tano imefanya kazi kubwa sana hakuna haja ya kusema kwa ubaya kila kitu
ww sema mazuri na manaya ya awamu hii inatosha awamu ya tano ilishapita na sasa tuongelee awamu hii

na wewe badilika sasa huu sio uwanja wa siasa bro
Huyo anapenda vijembe sn, chunguza humu Id zake zote na majukwaa yote yeye ni vijembe tu choko huyo.
 
Wanaboa sana, mambo ya ajabu kabisa. Na imagine hawa walikuwa mtu na Makamu Wake ambao walipeperusha bendera moja kunadi ilani moja ya uchaguzi, sasa pata picha wangekuwa vyama tofauti sijui ingekuwaje? Sometime najiuliza kama taifa tuna watu wanaofikiri namna gani? Inafikirisha sana
Shida ni kwamba kuna shetani humu hapendi kuona watz tukiungana kuwapiga sindano hawa wakunya, analazimisha wote tuwe na mawazo kama yake kwa kuongea uongo, ss kitu kama hicho kuna baadhi ya watu hatuwezi kuvumilia upotoshaji, inafikia hatua mpk tunaonekana hatumkubali Rais wa ss kitu ambacho co kweli japo madhaifu tunayasema.
 
Back
Top Bottom