Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadanganyika wajinyonge au watengane na Zanzibar
tapatalk_1644638400851.jpg
 
Umekomaa tuu na miradi mipya wakati hata ya zamani haijakamilika.SSH sio mjinga na mshamba wa ku stress economy Ili kukufirahisha wewe kenge.

Unaweza nitajia japo miradi 4 ambayo Mwendazake alianzisha ndani ya mwaka wake wa kwanza ofisini? Mimi nimekutajia mingi tuu hapo mwanzo.
Hii hapa hesabu cheki yote hiina mingine hii hapa
 
Bro kabla Tanzania au Rwanda kujenga barabara ya juu 27km ndani ya capital city zao itakua next century, wewe utakua mzoga kama magufuli View attachment 2125279
Xpress way sehemu iliyoinuka ni 8km na co 27km, hizo 27km ni road yote, yn only 27km imejengwa kwa $500ml na tayari gharama zimeongezeka mpk kufikia $670ml, nyie mna mapepo walahi.
 
Pamoja mkuu,yaani huu muungano mm unanikera Sana,mfano.
1.zanzibar walipogundua Mafuta,wakasema hayausiani na muungano,ina maana,bara SS hatumo.
2.Rais anatokea Zanzibar,anatwala pote,bara na Zanzibar,kule Zanzibar,mtu kutoka bara hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa.
3. Mtu wa bara huruhusiwi kununua ardh na kuimiliki,lakini huku bara wamejenga kila mahalo.
4. Mtu kutoka bara hawezi kupata Ajira kule hata kufagia Ofisi za serikali,Ila huku wamejaa majeshini,na tasisi nyeti.Wengi wao hawapendi kufanya kazi kwao sababu wanalipwa mishahara midogo Sana na hii imesabisha umasikini mkubwa Sana Zanzibar.
5.mtu kutoka bara ni ngumu kwake kufanya biashara kule lakini huku bara,wapemba wametapakaa kariakoo na huku mikoani na maduka ya simu na biashara zingine.
6. Ukiingiza bidhaa kutoka bara untozwa Kodi kule Zanzibar,eti ni nchi nyingine lakini huku wanaingiza vitu wanavyotaka.
Mm binafsi siutaki muunago hata kidogo,natamani uvunjwe kila mtu aishi Kwa kujitegemea. Bara hakuna tunchotegemea kutoka kule we have nothing to loose! Ila wao watapoteza vingi Sana,ule usemi kwamba muunngano ukivunjika watapata maendeleo haraka ni uwongo,Kwanza Wanaguana Sana Kati ya wapemba na waunguja. Kwa hiyo sio ajabu wakajitenga wao Kwa wao tena,pia ufisadi mkubwa Sana kule.
Muunngano unatinyonya Sana ss bara.
Mambo mengine unawafanya watu wacheke. Unajuwa kuwa Rais wa sasa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ni Mzanzibara. Baba yake Mhe. Ali Hassan Mwinyi Mtanganyika mama na baba, Zanzibar kaja kulelewa kafika hadi nafasi ya Rais. Marehemu Mhe. Aboud Jumbe Mwinyi Mbara baba na mama kwao Mji Mwema. Nyerere alipomlazimisha kujizulu 1984 akarudishwa kwao hadi alipofariki hakuruhusiwa kuishi tena Zanzibar alikuwa anakuja kutembea tu?.

Suala la Ardhi mpaka mtu anashangaa. Hivi kusema huo uongo utakusaidieni nini kwani Watanzania Bara wengi tu wanamiliki ardhi na nyumba huku Zanzibar. Tena basi kuwa Mzanzibari ni kutaka mwenyewe ukiishi miaka mitano tu tayari umekuwa Mzanzibari mkaazi na unakuwa na haki ya kufanya chochote.

Hamjiulizi kuwa nafasi ya juu nchini ambayo ni Rais imeshikiliwa na Watanzania Bara kwa zaidi ya mara tatu. Lakini mnaendelea na uongo tu kuwa Watanganyika hawapati na lile, sijui ndio iwe nini.

Kama Zanzibar haina maana mbona hamjiulizi ni kwa nini bado mnangangania. Juilizeni hili halafu mtafakari.
 
Kwa miaka mitano GDP iliongezeka zaid ukilinganisha na miaka yote ya nyuma, najua ww mafiii ulikuw hujui,2005 ilikuwa 18+ bill, kikwete akapeka 47 billions (10yrs),JPM 65(5yrs)....do the math
Ni Maoni yako,mimi nilikuwa anti awamu ya 5 toka day 1 na ntaendelea kuwa hivyo Kwa sababu Kwa Imani yangu miaka 6, statistics za Uchumi na parameters zote zinaonyesha tumerudi nyuma kulinganisha na hapo awali.

Yaani una execute utopian policies in modern world? Kinachoelezwa kufanyika kwangu ni kidogo kuliko kilichostahili.Sekta ya Real estate ilikufa kabisa, miradi mingi imefanyika chini ya kiwango ikiwemo Bwawa la Nyerere,Udsm hostel,majengo ya serikali nk.

Hakuna mtu aliweza kuibua uozo wala kuhoji,ukithubutu unapotezea as opposed to six phase government.Kila.siku ilikuwa ni mikwaruzano na majirani hususani Kenya,ikapelekea Mazao mengi ya kilimo ku collapse bei zake.

Ndio sababu ya matumizi ya nguvu na propaganda Sana kwa tu vitu tudogo.Imagine Rais anafunga safari ya kwenda kuzindua mradi wa bil.1 Ili afanye propaganda kwa wajinga.

Masheria mengi ya kipumbavu yalitungwa ambayo tunaanza kubadili tena Ili tuu kulinda uozo.

Yule jamaa kawatia watu jela afu wanaenda kunegotiate kwa pesa Ili wakuachie,kupora wafanyabiashara pesa na upuuzi mwingine.Anajua kutumia pesa ila kutafuta hajui.

Mwendazake angeendelea saizi tungeshakuwa Zimbabwe nyingine.Yeye badala arekebishe mapungufu ya JK anaanza kufanya crackdown tena kwa mihemko ya kijinga.

Enzi za Jakaya Tulikuwa tumefika mahala kuamini private sector kwenye kutoa ajira,tuliacha Kazi za serikali tukaenda kujiajiri but zama za Mwendazake ikawa kinyume,ukikosa Kazi ya serikyunajibanza kuwa machinga na worse enough ajira zilikuwa kiduchu Sana kwa kisingizio cha miradi.Kila mtu akawa Machinga kwa kukata tamaa,na hao wakawa wanalipishwa vitambulisho.

Mbona saizi ajira zinatoka na miradi inaenda? Wenye chuki wamekuja na chorus ya wafanyakazi hewa mara sijui anapendelea kwao na nonsense zingine..

Laiti Samia angekumbatia sera za kipuuzi kwenye uchumi ningempinga directly kama nilivyofanya kwa Mwendazake.
Yani ww hutaa kaaa kuacha kuwa mafiiiii daima
Ni kweli kipindi cha JPM sector ya real estate ili shuka , na sababu kubwa zikiwa ni kupungua kwa ufisadi na kukemewa kwa wawekezaji wa kigen juu ya kufanya vitu kihuni, pia kufwatilia kwa kodi wakati watu walikuw wanaishi kijanja janja ili liliua biashara nyingi,
Lakini hayo hayakuzui uchumi wa Tz sababu hii nchi sio nchi ya kutegemea private sector kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwepo na abandonce ya natural resorces such as minerals ( uraniun, titanium, helium, diamond, gold ,iron, to list a few),ges ,vyanzo vya maji mito, maziwa, bahari, Tourism,strategic location hivi vitu vinategemea zaidi kuwepo kwa serikali mahiri ili vitu kuweza kusonga mfano, JPM alivyo tumia excuse ya kuibiwa madin kuweza kubadili sheria za madini nikitu kitakacho isaidia sana hii nchi ila sio kwa mpuzi kama ww,
Kiuchumi kuna njia mbili za kucontrol economy which is fiscal policy(goverment)and monetary policy(bank(BOT)), hizi sera mbili serikali ndio inachagua ni ipi bora kutokana na hali ya uchumi kwa wakat husik.Serikal ya awamu ya tano ilitumia sana fiscal policy na pia JPM aliamini zaidi utajiri ulipo nchin kuliko kwenda kuwakomba mabeberu kitu kilicho pelekea mikwaruzo ya mara kwa mara, mfano yulinyimwa mikopo kadhaa pia kufanyiwa nakisi za uongo ili tu kutushusha ili turudi kuwa lilia ila mzee alikuw naroho ya paka.
Pamoja na setback alizopata toka njee bado alikuw na ushawishi wake uliongezeka sio tu ndani bali mpaka njee juu ya determination yake kwenye kazi mfano alikuwa ni rais wa visions kubwa kubwa wakati wote mfano ni aina ya miradi aliyo ianzisha ilio onekana impossible kama bwawa la Nyerere,mradi wa electrified SGR( wengi tulion analeta uwazim)nw kufufua reli ya zaman,kufufua shirika la ndege tulikuw loughing stock pia upanuzi na ujenzi wa viwanja vipya,kuamisha makao makuu ya serikali, ujenzi wa meli maziw yote,upanuzi wa bandari na kujenga mpya,sector ya Afya ndio alizid kufanya kufuru kwa kuongeza referal hospitals Mtwara, Mbeya na Dodoma huku vituo vya afya pia ,kufanikiw kurudisha ushawishi wa Tz kwenye jumuhiya za SADC na EAC kitu kilicho pelekea kuongezeka kwa ushirikiano ndani ya jumuiya hizi na faida moja wapo ni kupata bomba la mafuta,sector ya elimu alifanya vyema hasa kwa sera ya elimu bure na kuongeza madawati na madarasa
Pamoja na mazuri mengi bado kulikuw na madhaifu wakati wa uongozi wa JPM hasa kwenye upande wa siasa tukio kama la kushambuliwa kwa Lissu, kudhohofik kwa upinzani lakin nikiweka kwenye mizan ni dhahiri uongozi wake ulikuwaa na matokeo chanya zaidi kuliko madhaifu yake.
 
Better mara ngapi? Kwani hamna macho? NYie ni vipofu? Si kila kitu kinawekwa humu au?

Ushahidi unaonesha waliofanya vizuri darasani (Vipanga) huwa wanafanya vizuri pia wakipata nafasi za uongozi, na waliofeli darasani huwa hawafanyi vizuri kwenye uongozi pale wanapopata nafasi,
Mfano
1.JK Nyerere alikuwa ni Kipanga darasani, kwenye uongozi akawa exceptional

2. Ben Mkapa, alikuwa kipanga darasani na akafanya vizuri wakati wa uongozi wake

3. JPM alikuwa ni Kipanga Darasani na Alifanya vizuri sana kwenye uongozi wake,

Haya sasa tuje kwa hawa wasee wa ku graduate chuo na Gentleman
JM Kikwete: Alijitahidi
A. H Mwinyi - Failure
S.S.Hassan , ongoing …. Let’s wish the best for her, kwa ground kila kitu ni hovyo.
I have no problem with mama, I like her and I wish her the best,
Note: Mimi pia ni Kipanga wa darasani, a reason I always expect the best, and I always do the best.
 
Ushahidi unaonesha waliofanya vizuri darasani (Vipanga) huwa wanafanya vizuri pia wakipata nafasi za uongozi, na waliofeli darasani huwa hawafanyi vizuri kwenye uongozi pale wanapopata nafasi,
Mfano
1.JK Nyerere alikuwa ni Kipanga darasani, kwenye uongozi akawa exceptional

2. Ben Mkapa, alikuwa kipanga darasani na akafanya vizuri wakati wa uongozi wake

3. JPM alikuwa ni Kipanga Darasani na Alifanya vizuri sana kwenye uongozi wake,

Haya sasa tuje kwa hawa wasee wa ku graduate chuo na Gentleman
JM Kikwete: Alijitahidi
A. H Mwinyi - Failure
S.S.Hassan , ongoing …. Let’s wish the best for her, kwa ground kila kitu ni hovyo.
I have no problem with mama, I like her and I wish her the best,
Note: Mimi pia ni Kipanga wa darasani, a reason I always expect the best, and I always do the best.
JPM alikuwa kipanga wa wapi? 😄😄.

Uzuri ni subjective.

Hakuna Rais wa kumzidi Samia kwa mambo aliyofanya mwaka mmja wa uongozi,narudia hayupo .
 
Back
Top Bottom