👇👇👇👇zawad yako kwa leotanganyika have all the rights to beat us in terms of purchasing power parity (ppp), due to their big size of population,.. but you still however find that, we still beat them in this mode of gdp. ie. $250b vs $200b
Huyo aweza kujaza vyoo white house tu hakuna kitu kibaraka wa WAHUNI ADUI WA UZARENDO ,MZANZIBARI MPUUZI...JPM alikuwa kipanga wa wapi?.
Uzuri ni subjective.
Hakuna Rais wa kumzidi Samia kwa mambo aliyofanya mwaka mmja wa uongozi,narudia hayupo .
Akili yako mbovu wakati wa uhuru hakukuwa hata na barabara wala simu kama sasa wala umeme wala elimu watz asilimia zaidi ya 90 walikuwa awajui kusoma wala kuandika ,katika hali kama hiyo ulitegemea uchumi gani zaidi ya kufanya matayarishoRaisi mzuri sana hajawahi kuwepo tz enzi za Nyerere watu walisuffer sana,Nchi ilikua gizani mno kipindi hicho...Bado tuna safari ndefu sana watz..Hii nchi ambayo mtandao wa barabara zenye lami/zege haujafika nusu ya mtandao mzima wa barabara hata robo bado inaumiza sana
Kitimtim atakacho kutana nacho mama akijaribu kugombea 2025 sijui itakuwaje,siku hiyo atajua kuwa yeye ni mzenjiYani hat uwaelezee vipi hawa mazombie hawakuelewi.
Waache tu wafe na roho zao mbaya. Mama hata mwaka hajafikisha...bado anamiaka 9.....mwinyi nao. ....duh niishie hapo hapo. Nisije peleka mtu ICU
NSSF ni taasisi ya dubai, lkn la japan bure kuvukaHuu ni upuuzi, Serikali ikomeshe huu upuuzi,wao wawalipe pesa hao nssf


tanganyika have all the rights to beat us in terms of purchasing power parity (ppp), due to their big size of population, the way china beats united states for instance.. but you still however find that, we still beat them in this mode of gdp. ie. $250b vs $200b. yani we beat tanganyika from every angle, 'missionary and even bendover'![]()


Geza Ulole aliwai kunipinga kwenye ili wazo la tram kwenye brtThis is veeeery good. Tunataka eco free technologies. BRT roads zetu zikiwekewa train za umeme (Trams) itapendeza zaidi. Nadhani hili likitekelezeka kuna watu hapo North watauana kwa ajili ya TZ. We Tz always look ahead brilliantly. HATUKURUPUKI.
Mbona za mjapan mnapita bure km sio ulofa ni niniKwani wanaofanya kazi NSSF ni kina nani? kama ni hivyo watu wangenunua magari then watu wapande bure. Sasa shirika kama NSSF likitoa pesa zake na kutoa bure wewe unaona ni akili. Hii pesa inazunguka humuhumu. Bila shaka wewe mlupo utakua na matako makubwa sio kwa reasoning ya namna hii


Kwhyo unakataa km kenya tuna consume vitu vingi sana kuwalikoLete data Tanzania tunazalisha 7M tonnes za mahindi kwa mwaka, na tunatumia "almost 6M tonnes, ninyi mnazalisha 3M tonnes na mnatumia 4M tonnes.
Kumbuka Tanzania we consume what we produce, and produce what we consume, but stupid countries do produce what they don't consume (Flowers), and consume what they don't produce(food), as the result of their stupidity, they beg Chinese for food donations![]()
Ni wazo zuri tatizo mama hana mipango yeye husemq anacho ambiwa na wazungu na kutuambia kuwa ndiyo mpango wake ,kama ili la tram au mabasi ya umeme ,hivyo amekuwa akidandia dandia mambo asiyo yadhamilia katika dhati ya mojo wake ,mfano ni lile la kushushwa kwa bei ya kuunganishiwa umeme kwa wote kuna video ina mwonyesha mama anawahutubia wana nchi akijisifu yeye na serikali yake kuwa wamewashushia wananchi gharama ya kuunganisha umeme nchi nzima , je nini kimetokea baada ya muda mfupi anakuja kubatilisha hicho kitu, yani ni kudanda danda tu kama nyaniImagine ndio tuje tupate dude kama hili toka France, Walahi mungiki wataanzisha fuyo (fujo) Kunyaland wakidai na wao wanataka kama ya TZ.
View attachment 2125488
We kwn ni engineerWatu tunatoa pesa kujenga vitu classic wao wanachimba chimba tu cjui wanachimba nn.



Lkn kw mjapana bure hakuna toll sioOnly Mkunya at her true colors will be trying to compare a toll that is meant to repay back the money lent by NSSF Tanzania to a toll by chinese on a claimed free land along the Nairobi expressway!



Mjiandae na toll road kila mahala,hivi nyie Wakenya ni kwamba Serikali yenu imefirisika au? Kwa nini mnapenda PPP?NSSF ni taasisi ya dubai, lkn la japan bure kuvuka![]()
Wakenya kwa sasa hatuwawezi tena ,maana kasi ya JPM ILIWAFANYA NAO WAONGEZE BIDII ,SASA BAHATI MBAYA SISI TUMEPOTEZA KAMANDA WETU WA KIUCHUMI NA MZALENDO WA KWELI MAMBO YAMEHALIBIKA ,bora huu uzi tutumie kukosoana na kutukanana labda mambo yatakaa sawaKwa sisi ambao hatupendelei mambo ya siasa sasa RASMI hili jukwa halituhusu tena wabongo ile kasi ya kupost miradi ya maendeleo imeshuka sasa nikupost screenshots za mama kwa sasa kwenye hii battle wakenya wapo mbele yetu. Ni dhahiri siasa inatugawa sasa tunabishana wenyewe na hata kutukanana wenyewe Daah mambo yamebadilika sanaa kwasasa hata sijiamin kuchangia chochote humu mara kumi nikaangalie juma lokole amesema nini jukwaa la celebrities.
Unajua maana ya kupenda au ndio ni ushabiki maandazi baada ya kuona mnakomolewaMjiandae na toll road kila mahala,hivi nyie Wakenya ni kwamba Serikali yenu imefirisika au? Kwa nini mnapenda PPP?
View attachment 2125710
View attachment 2125711


PPP Kwenye barabara?Mjiandae na toll road kila mahala,hivi nyie Wakenya ni kwamba Serikali yenu imefirisika au? Kwa nini mnapenda PPP?
View attachment 2125710
View attachment 2125711