Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuvumilie tu na katiba letu bovu lililoasisiwa kuongoza watu wasiojua kusoma wala kuandika.

Tupo ktk kipindi kibovu kabisa kuwahi kutokea na sidhani kama kitatokea tena labda miaka 1000 ijayo, incompetence at its best.
Mtaalam hili dogo kuliko yaliyopo chini ya pazia. Mimi msimamo wangu ni tupige kelele muungano uvunjike kila mtu aende na hamsini zake
 
Yani wamechimba chimba cjui wamechimba nn, ka barabara kanakoenda kukutana na hiyo mitaro waliyochimba ni kembamba, huku pembeni shimo, katikati shimo, kulia shimo, kushoto shimo, I bet engineers ni wakunyaView attachment 2122688
HII PICHA IMEPIGIWA MBALI SANA....SASA UNAWEZA KUILINGANISHA HII BARABARA NA KALE KA UBUNGO KENYA KALIWATOA KAMASI.....BABA LEVO ANAKAITA KIJILIMA AU BICHI KIDI....MBWI
 



MY TAKE
Those r 3 buses! Si Tuzo boys (Gor Mahia) wapewe moja?

CLLZ-0yVEAAqPHC
 
Barabara ya NSSF
Mtz lazima alipe kodi hapo km sio ujinga ni nini...
Huvuki hapo bila ya kulipia ksh150View attachment 2123882
Only Mkunya at her true colors will be trying to compare a toll that is meant to repay back the money lent by NSSF Tanzania to a toll by chinese on a claimed free land along the Nairobi expressway!
 
Fool, hivi kati ya anayepokea msaada wa chakula na anayepewa pesa ni yupi fukara?


sasa chakula gani mko nayo apart from Mahindi na mihogo? Alafu si jiwe alisema nyinyi ni Donna cantreee vipi tena mnatembeza bakuli kila mahali kutafuta msaada😅😅😅
 
Back
Top Bottom