Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro kabla Tanzania au Rwanda kujenga barabara ya juu 27km ndani ya capital city zao itakua next century, wewe utakua mzoga kama magufuli
Kaka fuatilia huo mradi mmepigwa sana,yani mnajenga vitu kwa gharama kubwa kweli halafu mnaweka MITUMBA kutoka Germany😂😂😂

SGR mlipigwa na kwenye BRT napo mkapigwa na hiyo bypass nayo mnazidi kupigwa tu,hivi nyie wajukuu wa mama Ngina uwa hamjiongezi? Kila kitu mnachofanya hakielewki

Karibu tz nchi ya watu wenye mipango ya nchi yao. Ukikuta kuna nchi hapa EA wamefikia level hizi 👇👇 unitag

3048762_IMG_3545.jpg
 
View attachment 2125349
Unatudhalilisha yani tujivunie huu uchafu?
 
Hivi watz mbona mmewehuka sana humu ndani?hivi mtu na akili zako unakaa kumsifia raisi kutwa kucha kwani uyo raisi yuko hapo kufanya nn hasa?

Tumeshakubaliana kwamba tumechelewa sana na wanalijua hilo wafanye kazi walizoomba kufanya iyo ni ajira kama ajira zingine.Tunahitaji barabara all weather zipitike,maji,umeme,elimu nzuri,ajira za uhakika,vyakula nk.

Kila mtu atimize wajibu wake....sio sahihi kabisa kukaa unamsifia raisi tangu asubuhi hadi usiku all day everyday
 
Raisi mzuri sana hajawahi kuwepo tz enzi za Nyerere watu walisuffer sana,Nchi ilikua gizani mno kipindi hicho...Bado tuna safari ndefu sana watz..Hii nchi ambayo mtandao wa barabara zenye lami/zege haujafika nusu ya mtandao mzima wa barabara hata robo bado inaumiza sana
 
Mambo mengine unawafanya watu wacheke. Unajuwa kuwa Rais wa sasa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi ni Mzanzibara. Baba yake Mhe. Ali Hassan Mwinyi Mtanganyika mama na baba, Zanzibar kaja kulelewa kafika hadi nafasi ya Rais. Marehemu Mhe. Aboud Jumbe Mwinyi Mbara baba na mama kwao Mji Mwema. Nyerere alipomlazimisha kujizulu 1984 akarudishwa kwao hadi alipofariki hakuruhusiwa kuishi tena Zanzibar alikuwa anakuja kutembea tu?.

Suala la Ardhi mpaka mtu anashangaa. Hivi kusema huo uongo utakusaidieni nini kwani Watanzania Bara wengi tu wanamiliki ardhi na nyumba huku Zanzibar. Tena basi kuwa Mzanzibari ni kutaka mwenyewe ukiishi miaka mitano tu tayari umekuwa Mzanzibari mkaazi na unakuwa na haki ya kufanya chochote.

Hamjiulizi kuwa nafasi ya juu nchini ambayo ni Rais imeshikiliwa na Watanzania Bara kwa zaidi ya mara tatu. Lakini mnaendelea na uongo tu kuwa Watanganyika hawapati na lile, sijui ndio iwe nini.

Kama Zanzibar haina maana mbona hamjiulizi ni kwa nini bado mnangangania. Juilizeni hili halafu mtafakari.
Yani hat uwaelezee vipi hawa mazombie hawakuelewi.

Waache tu wafe na roho zao mbaya. Mama hata mwaka hajafikisha...bado anamiaka 9.....mwinyi nao. ....duh niishie hapo hapo. Nisije peleka mtu ICU
 
Mama yuko kazini.

Mradi mkubwa wa maji mto kiwira bilioni 250 for Mbeya uko kwa pipeline,tayari Consulting Company imesaini mkataba 👇

Screenshot_20220219-203138.png

Screenshot_20220220-214409.png
 
Attachments

  • MKATABA UJENZI wa MRADI MKUBWA wa MAJI MBEYA WASAINIWA, NAIBU WAZIRI AONGEA _HATUTA KWAMISHA M...mp4
    33.9 MB
The fact kwamba dar inaenda kupata tram soon than ever hii ni habari nzuri sana kwa dar...Imagine tulianza na brt huu mwaka wa sita inafanya kazi kabla hata wakenya hawajakamilisha yao tunahamia kwenye tram....

Najua mtaitaka ni suala la muda mtajua hamjui,Molina expressway ndio kila kitu mkasahau tuko na better plans
 
Raisi mzuri sana hajawahi kuwepo tz enzi za Nyerere watu walisuffer sana,Nchi ilikua gizani mno kipindi hicho...Bado tuna safari ndefu sana watz..Hii nchi ambayo mtandao wa barabara zenye lami/zege haujafika nusu ya mtandao mzima wa barabara hata robo bado inaumiza sana
Kwanza Nyerere ndio kasababisha hii nchi kuwa na mazombie na wajinga wengi kwa sababu hakutaka wasome na akawakuza na limfumo la ujamaa kulea u laziness.

Maneno mengi afu tija hakuna, matokeo yake watu ni kulaumu,kushikiwa akili na kusubiria serikali iwafanyie kila kitu.
 
Kaka acheni huu utoto mnaoufanya mbona mnakuwa kama kuna nchi tatu humu mna battle yani kenya,nchi ya magufuli na nchi ya samia halaf tena kuna nchi ya tanzania

Back
Top Bottom