Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenge wa Uhuru.

IMG_4879.jpg
 
Unajua maana ya kupenda au ndio ni ushabiki maandazi baada ya kuona mnakomolewa
Kigamoni mwaka sijui wa saba huu bado mnatembelea tolls na hakuna ripoti yyte ile ya kuonyesha km makusanyo yote yapoje..
Mnaendelea kunyofolewa tu...
Kigamboni is an option, Je na hiyo Nairobi-Nakuru ni option?
 
Sidhani kama hili ni wazo zuri, haya mabasi ni ghali na yatatengeneza utegemezi zaidi kwa wafaransa.

Tulishakuwa na mpango wa kutumia mabasi ya gesi, tungeweza hata kutumia kampuni zetu za ndani kuchongesha bodi na kutengeneza mabasi ya kutumia gesi.
Tatizo gesi pia siyo mali yetu ,kikwete alisha gawa ,tz tunatakiwa tupate raisi full capacity dictator atakaye tuvusha hapa hata kama tukiwekewa vikwazo na kula mlo mmoja kwa siku
 
Soma vizuri comment yangu, na huyo alielike comment yako nae pia atakua na matako makubwa
Yani pesa ya tanzania imejenga kw ajili ya watanzania ndio mlipe toll lkn za mjapan bure..
Huo ni utahira wa hali ya juu, lazima utambe na chako eti kisa mnataka misifa..

Mwaka wa saba huu toll fee mnatoa na bado hamjaelewa km kunaendaje
 
Unadhani unaweza jilinganisha kwenye academic performance na JPM ?
Mtu aliyosoma Science A- Level akafaulu huyo sio level yako wewe mzee wa HKL,
Wewe ulisoma masomo gani A-Level? I am assuming atleast ulifika A- Level
Mzenji na shule wapi na wapi yaani a ache kwenda malikiti kula rojo ili hawe na tako rojorojo wazungu wapite nao maana zenji ni makao makuu ya machoko
 
Yani pesa ya tanzania imejenga kw ajili ya watanzania ndio mlipe toll lkn za mjapan bure..
Huo ni utahira wa hali ya juu, lazima utambe na chako eti kisa mnataka misifa..

Mwaka wa saba huu toll fee mnatoa na bado hamjaelewa km kunaendaje
Ngoja nikusaidie bibie. Hilo daraja lilijengwa kwa mafao ya watu sema NSSF ikaona itumie kuwekeza kuliko kuacha hela zikae bure. Sasa kama unataka watu wasirudishie mafao yao? Kama ni wewe NSSF ikuambie hatukupi mafao yako maana tumejenga daraja utawaelewa?
Punguza shuzi hilo linakupunguzia uwezo wa kufikiri
 
Una vituko wewe jamaa,kwa hiyo wewe ulisomea Kiswahili? Weka vyeti vyake kuanzia O level na A level na mimi nikupe vyangu.

Kusoma Sayansi ndio nini? Nyerere na MKapa walisoma science? Wale rekodi zao zipo na walikuwa bright na kuongoza darasani.Za Mwendazake ziko wapi?

Kipanga hawezi foji PhD
Wewe cheti chako kama cha SA 100 NI KULA ROJO MARIKITI YA MAKUNDUCHI kisha kwenda kwa mabasha wakitaliano walio jaa zenji ....wakurojoshe
Hapo utajua maana ya " KULA ROJO UROJWESHWE
 
Ngoja nikusaidie bibie. Hilo daraja lilijengwa kwa mafao ya watu sema NSSF ikaona itumie kuwekeza kuliko kuacha hela zikae bure. Sasa kama unataka watu wasirudishie mafao yao? Kama ni wewe NSSF ikuambie hatukupi mafao yako maana tumejenga daraja utawaelewa?
Punguza shuzi hilo linakupunguzia uwezo wa kufikiri
Hela inayo kaa bure ina maana ilikua haina kazi, we sema wapiga dili walicheza dili wakachors ramani na ikaingiliana na kuamua kujitengezea mrija wa kunyofoa kw miaka kadhaa..

Nikikuuliza hivi una ripoti yyte ile kuhusu hzo returns, serekali yenu imeshindwa na nini kulipia wananchi wapite bure..si nyie mnajali wanyonge bana hivi imekuaje daraja la kwenda kw wanyonge liwe mnalipia toll..
Poleni sana
 
Mjiandae na toll road kila mahala,hivi nyie Wakenya ni kwamba Serikali yenu imefirisika au? Kwa nini mnapenda PPP?

View attachment 2125710

View attachment 2125711

Hii project ilikuwa cancelled January! it is no more! hata Teargass na Tony254 wanajua!

Back
Top Bottom