Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lete data Tanzania tunazalisha 7M tonnes za mahindi kwa mwaka, na tunatumia "almost 6M tonnes, ninyi mnazalisha 3M tonnes na mnatumia 4M tonnes.

Kumbuka Tanzania we consume what we produce, and produce what we consume, but stupid country do produce what they don't consume (Flowers), and consume what they don't produce(food), as the result of their stupidity, they beg Chinese for food donations
👌 watu wanazalisha maua na chai ili kuwauzia wazungu ilhali wao wanakufaa njaa akili ya wapi hii ni kama sisi eti tuende mbeya tung'oe mpunga alafu tupandane maua si tutakufaa njaa bongo hapa😅
 
Waulize Rwanda watakuambia kuhusu chakula ya Tanzania
Tunawafungulia ghala pale Mombasa ndio watajua hawajui mana watatugemea kwa over 95% kwa chakula.
 
👌 watu wanazalisha maua na chai ili kuwauzia wazungu ilhali wao wanakufaa njaa akili ya wapi hii ni kama sisi eti tuende mbeya tung'oe mpunga alafu tupandane maua si tutakufaa njaa bongo hapa😅
Kumbe ndio maana mko na madini kila mahali na bado mnaomba msaada😅😅😅yani unafikiria kulima Mahindi ndio kufaulu!
 
Au mfano mzuri ni kama mkoa wa kilimanjaro na kagera ina ardhi nzuri tuu ya kupanda chai, maua na kahawa ila ukienda kwenye iyo mikoa imejaa ndizi tuu yani huwezi kufaa njaa kwa sababu ndizi zimetapakaa kama uchafu na zinavunwa wakati wowote hamna sijui unangojea msimu flani ufike uvune alafu kingine izo ardhi zinamilikiwa na watanzania sio kama nyinyi ardhi zinamilikiwa na wachache alafu wanapanda maua ebu kuweni serious bana
 
Ile serikali imeenda kuomba mkopo ufaransa hama serikali gani unaongelea? wewe unafikiria hiyo mkopo italipwa na nani kama si hiyo pesa ya toll fee? Bongolala bana😂
Toll fee ya Tanzania ni sawa na kulipa VAT, pesa yote inaingia serikalini, sio mifukoni mwa wachina
 
Ile serikali imeenda kuomba mkopo ufaransa hama serikali gani unaongelea? wewe unafikiria hiyo mkopo italipwa na nani kama si hiyo pesa ya toll fee? Bongolala bana
Miongoni mwa matumizi ya pesa za serikali yoyote ni kulipa mikopo yake, Sasa ninyi "road toll " anachukia Mchina, mikopo mtalipaje?
 
tuko na wakimbizi wengi Sana toka Somalia ambao wanaitaji hicho chakula kila siku mbona tukatae ?
Kwani sisi uku Ndio hatuna wakimbizi kutoka Congo na Burundi acha kuendekeza ujinga mzee kwanza wengi wanaokufaa njaa sio wakimbizi kubali tuu ni ujinga juzi tuu hapa mliskia KFC annagiza viazi kutoka misri utafikiri uko timboroa hamna viazi jambo kama ilo haliwezi kufanyika bongo kamwe
 
sasa chakula gani mko nayo apart from Mahindi na mihogo? Alafu si jiwe alisema nyinyi ni Donna cantreee vipi tena mnatembeza bakuli kila mahali kutafuta msaada

Huna point ndo maana unabwabwaja baada ya kupigwa na kitu kizito.
Karne ya 21 bado mnategemea chakula cha msaada.

Ukiona unapewa chakula cha msaada karne hii inabidi ujitafakari sana.
 
Back
Top Bottom