Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
Bongolala bana 😂😂😂...mnawafukuza alafu mnarudi tena huko huko kuomba msaada kwasababu ya ufukara?Tatizo lenu mlikua mnajipendekeza kwa wazungu wakati sisi tuliwakumbatia waafrika weusi, Sasa hivi tunatengeneza $1B kwa mwaka Kama faida, lazima tufurahi kwasaba Sasa hivi tunapata mavuno ya damu yetu iliyomwagika, punguzeni wivu kidogo![]()
![]()
![]()


